Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Mama mkwe anaugua kansa,anamwezi tangu aje hapa kaenda kwa mwamposa na kakutana nae kushikwa kichwa zaidi ya mara tatu ila mambo ni zero, juzi kaambiwa kina kongamano komboa familia kaja na gia akauze kiwanja apate pesa ya huko, nawangalia na wife alafu na baki hiiiiiii
Usipokuwa makini watakuacha maskini
 
Mama mkwe anaugua kansa,anamwezi tangu aje hapa kaenda kwa mwamposa na kakutana nae kushikwa kichwa zaidi ya mara tatu ila mambo ni zero, juzi kaambiwa kina kongamano komboa familia kaja na gia akauze kiwanja apate pesa ya huko, nawangalia na wife alafu na baki hiiiiiii
Aisee
 
Huyo hana imani, ila kwa uwezo wa mungu kupitia mwamposa bas atapona
 
Sasa huo ni uchawi na mazingaombwe, mbona watu wanafanya Sana, Angalia hata azam one, kuna kipindi cha kuonyesha mauzauza kama hayo nao wakiamua kuanzisha kanisa watawavuna Sana watu mamburula kama wewe
Hujaelewa wewe mazingaombwe yatokee wapi. Sisi home Nachingwea Lindi huko alafu mwamposa yupo dar
 
Alafu mbona km hayo magongo ni mapya yote?it means yalichongwa purposely kwa kaz maalumu [emoji3]
 
Kwa yule ninaemjua ni mlemavu akipona nitajua ni kweli, sio hawa wa kuletwa. Jamaa alikuwa anawapa watu ndevu za ajabu, na kuwapa mafunzo maalumu ili washuhudie walikuwa misukule na wamefufuka. Ni maujanja tu ya kupiga pesa kimazingira.
HV hiz hela l anazopiga mwamposa kila siku mwasema anapiga pesa na hazijamtosha mpk Leo siyo kweli anapiga pesa jamaa Ana kitu ya kiungu ndani yake maimpuuze mkazanieni na mfatilie masoma yake na vitendo vyake vya kiiimani

tumshukuru mungu kwa maisha ya mwamposa sisi hatujui lolote mungu Ni wew tunakuangalia utasaidie na kutuepusha Kam Ni wako bas lidhirike pia
 
Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.

Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.

Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.

View attachment 2387081
Kilema gani na kipofu unayemjua hapo Songea unayejua kwamba ametembea au kuona? Tutajie jina tu,sisi wengine wa hapahapa Songea
 
Back
Top Bottom