Usipokuwa makini watakuacha maskiniMama mkwe anaugua kansa,anamwezi tangu aje hapa kaenda kwa mwamposa na kakutana nae kushikwa kichwa zaidi ya mara tatu ila mambo ni zero, juzi kaambiwa kina kongamano komboa familia kaja na gia akauze kiwanja apate pesa ya huko, nawangalia na wife alafu na baki hiiiiiii