FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Mbona kama vile magongo yote mapya yametoka kwa fundi seremalaWote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama vile magongo yote mapya yametoka kwa fundi seremalaWote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
Hata Gwajima alianza hivyo. Sasa hivi anatumikia ubunge wa bure aliopewa wa kuiba kura na mwendazake.Siwashangai,hata yesu kuna watu hawakumuamini mbaka siku ya mwisho .
🤣🤣🤣🤣matapeli wa injiliMbona kama vile magongo yote mapya yametoka kwa fundi seremala
Nangoja Majibuakijibu na yeye ni kilema unitag
Tate acha Kiburi, Yesu anaponya.Stupid na huyo tapeli wako Mwamposa.
Injili ya nyokwe!! Nawe unaamini wagangaUtabakia kusema hivyo hivyo..injili inasonga mbele..na wengi wanafunguliwa na kuponywa.
#MaendeleoHayanaChama
Haiwezekani magongo yote yafanane.Wote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
Fanya usome kitabu chake japo kina makosa mengi ya kiuandishi angalia ujumbe.Basi kumbe mwamposa ni mtu sahihi
Wagonjwa wa kweli wako Muhimbili, si aende huko!! Tuondeleeni matatizo yenu ya afya ya akili hapa!Unafact gani kusema yule ni tapeli?
We Zombie lake
Ila siyo kupitia hayo maigizo ya Mwamposa.Tate acha Kiburi, Yesu anaponya.
Nna ndugu yangu alizaliwa na cerebral palsy nikuletee kama atatembeaKama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Sasa huo ni uchawi na mazingaombwe, mbona watu wanafanya Sana, Angalia hata azam one, kuna kipindi cha kuonyesha mauzauza kama hayo nao wakiamua kuanzisha kanisa watawavuna Sana watu mamburula kama weweMimi nilikua simwamini ila sku moja kwa macho yangu nimeona jogoo anapupa na kufa baada ya kumwagiiwa maji ya bombani ambayo aliombea usiku. Alafu haijapita siku mbili nikaona tena kwa jirani kunguru alitua dukani kamwagiwa kafa na nilimtoa mwenyewe. Haya mambo bora tukae kimya tuu.
Huwezi kuaminiKwa yule ninaemjua ni mlemavu akipona nitajua ni kweli, sio hawa wa kuletwa. Jamaa alikuwa anawapa watu ndevu za ajabu, na kuwapa mafunzo maalumu ili washuhudie walikuwa misukule na wamefufuka. Ni maujanja tu ya kupiga pesa kimazingira.
Unadhani hata ukienda Songea utawaona hao walioponywa? Huwa nashangaa watu kwa nini wanapigwa kirahisi namna hii.Hao viwete wako Songea tu😅😅😅
Daaah ndugu yangu, Elimika ndugu hao ni Usanii unafanyika hapo au labda nikuambie ukweli hayo ni maigizo tu hayana uhalisia wowote nndmaivizo gan hayo watu wanaponA??
Kwa hiyo magongo yote ni ya mbao! Hakuna hata yale magongo maalum ya hospitali! Kweli Mwamposa katisha.We jamaa tumia akili, magongo mapya hayo?