Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
- Thread starter
- #621
Watanzania bwana.Wewe ulikuwa kilema umepona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania bwana.Wewe ulikuwa kilema umepona?
Wajinga ndio waliwao. Na ww ni mmoja wao!Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Mtu anaponya watu unamdharauWajinga ndio waliwao. Na ww ni mmoja wao!
Mtu anaponya watu unamuita tapeli??Huyu tapeki naye wamuwahi kumlipua akiwa hai bado.
Asije kutufia hapa, wakamuanika madudu yake, halafu wakaambiwa kwa nini mmesubiri mpaka kafa, kama TB Joshua.
Umelipwa na Mwamposa nini!Watanzania bwana.
Mwamposa ni tapeli na jizi "numero uno"Wajinga ndio waliwao. Na ww ni mmoja wao!
Unahakikisha vipi kaponya watu?Mtu anaponya watu unamuita tapeli??
Mbona magongo yote yaliyotupwa ni yanaonekana kuchongwa siku hiyohiyo (mapya), huo uwete ulikuwa unamngoja Mwamposa. Hayo magongo yalichongeshwa na Mwamposa na kugawiwa watu (actors) maalumu ili washiriki kwenye uongo na udanganyifu wa kupona.Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Swali hapa ni je, walikuwa viwete kweli au wasanii tu wa bongo movie?Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Ni viwete kweli, anglia magongoSwali hapa ni je, walikuwa viwete kweli au wasanii tu wa bongo movie?
Mkuu angali shuhuda mbLimbLi zinazotolewa kupitia rise and shine utajua jamaa anasaidia kias gn.QQUnahakikisha vipi kaponya watu?
Hauna mtu unaemjua kasaidiwa na mungu kuptia mtume?Mbona magongo yote yaliyotupwa ni yanaonekana kuchongwa siku hiyohiyo (mapya), huo uwete ulikuwa unamngoja Mwamposa. Hayo magongo yalichongeshwa na Mwamposa na kugawiwa watu (actors) maalumu ili washiriki kwenye uongo na udanganyifu wa kupona.
Kaiba nni acha kumkfuru munguMwamposa ni tapeli na jizi "numero uno"
Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Mkuu watu wangap wanamuamn mwamposa nch hii?Viwete wa Mwamposa huwa wana magongo tu, utapeli wa kutupa, jamaa anawashika kweli kweli na ujinga wenu.
Mkuu watu wangap wanamuamn mwamposa nch hii?
Kama analipa watu basi acha wapate pesa, kumbe Mwamposa nae mjinga anawapa masikini hela!Hao wamelipwa kuigiza ndugu, ukitaka kujua ni kweli mchukue mlemavu unaemfahamu uone kama atapona