Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru kwa kunithibitishia pasipo shaka kuwa barua uliifikisha.
Cc Nleterewa Nganengo
hahahhaha msacha tena ama usi oko lanye[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeamini duniani hakuna haki.
Nina miaka 7 sasa sijaonja hata soda, ni mimi na maji tu.
Anway ngoja nimwambie huyo msacha wako asahau ya kale na agange yajayo.[emoji24]
nilifikisha my dear[emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru kwa kunithibitishia pasipo shaka kuwa barua uliifikisha.
Cc Nleterewa Nganengo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahhaha msacha tena ama usi oko lanye
lohhhh
hahahahahahahaha santeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inyi ngamsamba mawoko cha Pilatoo, ngamdea Ruwa nemanya chandu euta[emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahahahahaha santeeeee
you made my day fully
asante sana msacha oko mkunde...it time to start weekend nowwwwwwwwwwwww
cheers
[emoji120][emoji120][emoji120]Thad nakutumia salamu, ujumbe uache kuniomba pesa mwaka huu
@bdabe bbade nakutumia salamu, ujumbe thank u for being a great friend to me ,even though i never seen your face
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijachelewa huh?@jakitoo nakutumia salamu zangu naomba uzipokee.salamu zangu bado zinapitia kwa mhariri zipate kibali kabisa nazo zisije kublockiwa hapa. Cc bbade
heri ya mwaka mpya ndugu yangu.[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
asante jje'sHeri ya mwaka mpya wapendwa wote wa JF,
Salamu zangu za kwanza namtumia Maxi, ujumbe Mungu ambariki kwa kugundua hii website ambayo kila kukicha inanipa marafiki wapya na wazuri,
Salamu zangu za pili zimfikie STUNTER , Kichwa Kichafu , Thad , Sakayo , Shunie , Daby , Mr Miller Demiss Nleterewa Nganengo Neybright Valentina Joseverest sumbai Money Penny Asprin Heaven on Earth Heaven Sent valuablecock samalanga bigmind chinekeeee Vladimirovich Putin tamuuuuu Mwifwa na wale wajumbe wote wa USIKU WA MANANE....
ujumbe: Tumevuka kwa neema tu wala si kwa nguvu zetu na kwa hiyo tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema na fadhili zake zote.
[emoji4][emoji4][emoji8][emoji8]Sijachelewa huh?
Happy New Year honey! [emoji8][emoji8][emoji8]
Mmmmmmmmmmmh!!Heri ya mwaka mpya wana jamii watu wa maana na mitakataka yote
salam zangu za kwanza ziende kwa dada yangu Khantwe
ujumbe hata kama hujanialika mimi nitakula tu ubwabwa kwa jirani
salam zangu za pili ziende kwa espy ujumbe we nidanganye tu kama utanipenda maana sitaki kuambiwa ukweli
salam zangu za tatu zikufuate Thad ujumbe wewe tupange tu hata tukiwa kumi mimi sijalii sina habari leo nitakula wali na kachumbari
salam zangu za nne ziende kwa Mafikizolo we nilikwambia kama utanipenda vyote vilivyobaki nitacover
asilimia sabini ya mwili wangu umejaa maji asilimia 30 nakupenda wewe
salam zangu za tano ziende kwa Madame B ujumbe dodoma ukumbuke kinga kama mimi navyozikumbuka
salam zangu za sita ziende kwa Sweet16 ujumbe hata kwa pm nikumbuke japo najua namba yangu umefuta na ukaiblock
salam zangu za saba ziende kwa Sky Eclat ujumbe eti kisa babu
salam zangu za nane ziende kwa anayejiita Daby ahsante kwa kunifitinisha na dadaako poa poa tu
salam za tisa ziende kwa Evelyn Salt ujumbe we unajua deep and down kwamba nilijiunga ili nikupate ww
salamu zangu za kumi ziende kwa mpwa wangu Shunie ujumbe kazi yako niliiona na naikumbuka upo kama pele ujumbe uwe unawahi kulala ukue
salam zangu za kumi na moja ziende kwako ww
ujumbe tusiogope kufa mwaka huu kwani kufa kama kulala tu na makaburi kama matuta
Mwenza mie mume wa peke yangu simtaki, hivyo tuvumiliane tu.Salamu zangu nazituma kwa wake wenzangu espy Thad Neybright miss chagga ladyfurahia Mzigua90
Ujumbe, mwaka 2019 sitaki kushea na mtu
Siwezi kuwasahau wakorea wenzangu Damushin Nifah @animas EMPTY na wengine hebu piteni na huku kidogo
Happy New Year nawapenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizuri tunakula wote dear, hivyo kuwa huru tu.
Sawa mama. Ngoja nimkubalie tu basiKizuri tunakula wote dear, hivyo kuwa huru tu.
Happy new year darling.espy mkao uliokaa tukampata Douta naomba tuutumie 2019.
Heaven Sent Unajua vile nakupenda.
gorgeousmimi Missing you rafiki
Khantwe Udangaji wako ndo uwa unanipa hasira zaidi ya kupambana..Usiache
Valentina Jirani..Hatujauaga mwaka 2018 wala kuukaribisha 2019..Tusiwe wazembe kiasi hicho
Mzigua90 Japo foleni imekuwa kubwa ila unajua penyewe tumetoka.
Evelyn Salt Zawadi uliyoniahidi kunipatia ukimaliza form4 hadi leo kimya mpendwa..Sijui unajifelisha usimalize
BADILI TABIA 2019 usijifiche sana mpendwa..Hata kwenye kwaya sikuoni
Roger Sterling Heri ya mwaka mpya bro
cute b 2019 isipite bila ndoa..Ikibidi mtolee jamaa mahari umuoe kama anazingua..cc sumbai
Heri ya mwaka mpya kaka shemeji.Samboko hivi Hajar yupo wapi?? Happy new year to you brother.
Kiongozi Mr Miller salam nyingi kwako
Mkuu wa mashemeji espy heri ya mwaka mpya.
Sakayo my sister Mzigua90 api neu yea
dark angel
My sister Khantwe
Class mate Daby happy new year
My blood jje's ur missed soo
Mzee kijana Asprin na mtaalam wangu Sky Eclat
MO11 thanks kwa kuanzisha uzi huu. Ila its enough uache kumchezea dadashemej espy
My best Shunie much love to you.
Madame S
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ulikuwa bado haujamkubalia!!!