Natuma salam na wewe njoo utume zako

Natuma salam na wewe njoo utume zako

Heri ya mwaka mpya wapendwa wote wa JF,

Salamu zangu za kwanza namtumia Maxi, ujumbe Mungu ambariki kwa kugundua hii website ambayo kila kukicha inanipa marafiki wapya na wazuri,

Salamu zangu za pili zimfikie STUNTER , Kichwa Kichafu , Thad , Sakayo , Shunie , Daby , Mr Miller Demiss Nleterewa Nganengo Neybright Valentina Joseverest sumbai Money Penny Asprin Heaven on Earth Heaven Sent valuablecock samalanga bigmind chinekeeee Vladimirovich Putin tamuuuuu Mwifwa na wale wajumbe wote wa USIKU WA MANANE....

ujumbe: Tumevuka kwa neema tu wala si kwa nguvu zetu na kwa hiyo tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema na fadhili zake zote.
asante jje's
heri ya mwaka mpya na kwako pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya mwaka mpya wana jamii watu wa maana na mitakataka yote

salam zangu za kwanza ziende kwa dada yangu Khantwe
ujumbe hata kama hujanialika mimi nitakula tu ubwabwa kwa jirani

salam zangu za pili ziende kwa espy ujumbe we nidanganye tu kama utanipenda maana sitaki kuambiwa ukweli

salam zangu za tatu zikufuate Thad ujumbe wewe tupange tu hata tukiwa kumi mimi sijalii sina habari leo nitakula wali na kachumbari

salam zangu za nne ziende kwa Mafikizolo we nilikwambia kama utanipenda vyote vilivyobaki nitacover
asilimia sabini ya mwili wangu umejaa maji asilimia 30 nakupenda wewe

salam zangu za tano ziende kwa Madame B ujumbe dodoma ukumbuke kinga kama mimi navyozikumbuka

salam zangu za sita ziende kwa Sweet16 ujumbe hata kwa pm nikumbuke japo najua namba yangu umefuta na ukaiblock

salam zangu za saba ziende kwa Sky Eclat ujumbe eti kisa babu

salam zangu za nane ziende kwa anayejiita Daby ahsante kwa kunifitinisha na dadaako poa poa tu

salam za tisa ziende kwa Evelyn Salt ujumbe we unajua deep and down kwamba nilijiunga ili nikupate ww

salamu zangu za kumi ziende kwa mpwa wangu Shunie ujumbe kazi yako niliiona na naikumbuka upo kama pele ujumbe uwe unawahi kulala ukue

salam zangu za kumi na moja ziende kwako ww
ujumbe tusiogope kufa mwaka huu kwani kufa kama kulala tu na makaburi kama matuta
Mmmmmmmmmmmh!!
Heri ya mwaka mpya, miss you.
 
espy mkao uliokaa tukampata Douta naomba tuutumie 2019.
Heaven Sent Unajua vile nakupenda.
gorgeousmimi Missing you rafiki
Khantwe Udangaji wako ndo uwa unanipa hasira zaidi ya kupambana..Usiache
Valentina Jirani..Hatujauaga mwaka 2018 wala kuukaribisha 2019..Tusiwe wazembe kiasi hicho
Mzigua90 Japo foleni imekuwa kubwa ila unajua penyewe tumetoka.
Evelyn Salt Zawadi uliyoniahidi kunipatia ukimaliza form4 hadi leo kimya mpendwa..Sijui unajifelisha usimalize
BADILI TABIA 2019 usijifiche sana mpendwa..Hata kwenye kwaya sikuoni
Roger Sterling Heri ya mwaka mpya bro
cute b 2019 isipite bila ndoa..Ikibidi mtolee jamaa mahari umuoe kama anazingua..cc sumbai
Happy new year darling.
 
Samboko hivi Hajar yupo wapi?? Happy new year to you brother.

Kiongozi Mr Miller salam nyingi kwako

Mkuu wa mashemeji espy heri ya mwaka mpya.

Sakayo my sister Mzigua90 api neu yea

dark angel
My sister Khantwe

Class mate Daby happy new year

My blood jje's ur missed soo

Mzee kijana Asprin na mtaalam wangu Sky Eclat
MO11 thanks kwa kuanzisha uzi huu. Ila its enough uache kumchezea dadashemej espy

My best Shunie much love to you.

Madame S

Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ya mwaka mpya kaka shemeji.
 
Back
Top Bottom