Natuma salam na wewe njoo utume zako

Natuma salam na wewe njoo utume zako

Salam natuma...
1. Kiranga
Ujumbe: Yeye ni rafiki mzuri sana, nimefaidi madini yake sana.

2. Nguruvi3
Ujumbe: Jukwaa la GT limenifumbua mengi sana, asichoke kuandika...

3. Shadeeya
Ujumbe: aendelee kuwa mkarimu na tabia njema

4. Kasie
Ujumbe: Azidi kuzidisha mahaba kwa dadii

5. dark angel
Ujumbe: Maisha ni safari, tuzidi kusonga mbele.
Ahsante sana Mangi. 🙏🙏

HAPPY NEW YEAR.
 
Back
Top Bottom