Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana Mangi. 🙏🙏Salam natuma...
1. Kiranga
Ujumbe: Yeye ni rafiki mzuri sana, nimefaidi madini yake sana.
2. Nguruvi3
Ujumbe: Jukwaa la GT limenifumbua mengi sana, asichoke kuandika...
3. Shadeeya
Ujumbe: aendelee kuwa mkarimu na tabia njema
4. Kasie
Ujumbe: Azidi kuzidisha mahaba kwa dadii
5. dark angel
Ujumbe: Maisha ni safari, tuzidi kusonga mbele.
Ahsante sana Dada wa mie. Nakupenda pia Madame.Pia naomba niwasalimie Shadeeya, Beef Lasagna, Hajar, Ambiele Kiviele, King Kong III, Mzigua90, Ngoda95, Jackline Bahath
Ujumbe: Nawapenda sana na niwatakie mwaka mpya mwema wa 2019
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha hahaha
Ndo maana nikasema hivyo Mangi.... Najua ni rafiki yako mzuuuuriii
Nami nimeupokea mwaka salama kabisa mdogo wangu.Ahsante sana Dada wa mie. Nakupenda pia Madame.
Mi namshukuru Mwenyezi Mungu nimeupokea salama kabisa sijui kwako Dada?
Madame umezinguaNami nimeupokea mwaka salama kabisa mdogo wangu.
Mungu atufanikishie malengo yetu.
Asante mamie
Amiin Insha Allah. 🙏🙏🙏Nami nimeupokea mwaka salama kabisa mdogo wangu.
Mungu atufanikishie malengo yetu.
Asante mamie
Nimeona aiseee. Kweli una mzuka. 🤣🤣🤣Leo nina mzuka wa kugawa likes mwanzo mwishooo,
Whoever nitakae ona comment yake, A girl, A boy, A staight Men, A straight women, A gay or A lesbian, A witch as long as your not a bot.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Salam zangu za kwanza zinifikie mimi mwenyewe kwa ID hii.
Salam zangu za pili zinifikie mimi mwenyewe kwa ID nyingine nilizonazo.
Na Mkiniuzi na dislike zoteee,Nimeona aiseee. Kweli una mzuka. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakupenda pia mwaka 2019 ukawe wa heri kwetu sotePia naomba niwasalimie Shadeeya, Beef Lasagna, Hajar, Ambiele Kiviele, King Kong III, Mzigua90, Ngoda95, Jackline Bahath
Ujumbe: Nawapenda sana na niwatakie mwaka mpya mwema wa 2019
Sasa mbona wamwaga mchele hadharani?
Asante mpenzi wangu.Amiin Insha Allah. 🙏🙏🙏
Asubuhi njema Madame.
Amina mdogo wangu...