Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

jangos

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
208
Reaction score
231
Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
IMG_20240816_172322.jpg
 
Umeitoa Kenya na unaitumia Tanzania, sasa yeye hana hio line unamsaidia vipi?
Mkuu mimi sina la kumsaidia nimempa kuwa ana options 2, na ukisoma kuna comment nyingine nikamwambia how anavyoweza kutumia paypal kisha nikamalizia kwa kumwambia kuwa njia bora zaidi ni binance. line za safaricom zinauzwa hata mimi nilinunua na kuifungulia hapa hapa na wengi wanazo tu bila kufika kenya. But ni risk kwa sababu inakuwa haina details zako bali za ile line uliyonunua.
 
Wewe ulienda tu ukachomoa Hela zako kutoka Payoneer?
Mkuu mimi nimekuwa natumia payoneer toka mwaka 2014. na payoneer uzuri inafanya kazi tz na verification zake wanakuona vitambulisho vya tz. so kuchomoa ela hakuhitaji chochote zaidi ya kuwa ulishwahi kuverify kwa kutumia leseni, au kitambulisho cha nida au passport na address verification. ukishafanya hilo basi ela yako wakati wowote unaichomoa kwa kuihamishia kwenye account, au kuitoa kwenye atm kama una physical card kama huna physical bali una virtual card unaweza hata kuitolea kwenye airtel money app ikaja airtel money au kama una line ya safaricom ukatumia skrill kuituma kwenye line yako ya safaricom kisha ukaituma kwenye line yako ya tz.
 
Option nyepesi na ni salama zaidi ni Bitcoin Binance! Unatoa pesa kwa Binance exchange.
Kama utaniamini japo hatufahamiani naweza kukutolea kwa Binance Chap na kwa haraka.
 
Back
Top Bottom