jangos
JF-Expert Member
- Dec 20, 2023
- 208
- 231
- Thread starter
- #21
Naomba nielekeze zaidi mkuu maana wananiambia niweke na payment detailsNjia sahihi na rahisi apo ni Bitcoin via Binance. Ukisha pokea hela zako unaenda sehem ya P2P kisha una ziuza ndani ya dkk 1 unapata hela zako kupitia mtandao wa simu utakao chagua wew kama njia ya malipo.
Ukitaka kujiunga Binance tumia hii Link:
Bitcoin Exchange | Cryptocurrency Exchange | Binance