Naomba nielekeze zaidi mkuu maana wananiambia niweke na payment detailsNjia sahihi na rahisi apo ni Bitcoin via Binance. Ukisha pokea hela zako unaenda sehem ya P2P kisha una ziuza ndani ya dkk 1 unapata hela zako kupitia mtandao wa simu utakao chagua wew kama njia ya malipo.
Ukitaka kujiunga Binance tumia hii Link:
Bitcoin Exchange | Cryptocurrency Exchange | Binance
Hv kwanini bongo hawaruhusu paypal!? Fisiemu kweli wapo bize kutudabwika umasikiniunatengeneza paypal ya kenya ilimradi uwe na line ya safaricom na details za paypal ziendane na hiyo line au mwombe mwenye nayo akutolee but be careful mtu asijepokea pesa akaingia mitini. but binance itakuwa njia bora zaidi.
Kwenye namba ya simu ni yoyote au Kuna mitandao ndo inakubali?Njia sahihi na rahisi apo ni Bitcoin via Binance. Ukisha pokea hela zako unaenda sehem ya P2P kisha una ziuza ndani ya dkk 1 unapata hela zako kupitia mtandao wa simu utakao chagua wew kama njia ya malipo.
Ukitaka kujiunga Binance tumia hii Link:
Bitcoin Exchange | Cryptocurrency Exchange | Binance
Nawe mpe mwongozo lo