PowaAngalia threads alizoanzisha muosharungu kuna uzi wa interview ya husna the bosslady utaukuta!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman my dear nisamehe bure halaf hakuna chochote ujue muinterview alikimbiaHivi shunie wewe ndio wa kunifanyia mimi hivi? Kwanini hujaniita jamani nimepitwa hivi hivi leo
Kumbeee cuzooCuzoo huyu muosha naniliuuu ni muongo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alijuaje mi ni mrembo na msomi? Ikiwa hajawahi niona[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Uongo wake tu hapa
Ajingate in peace tuHahahaa shunie umemkumbuka shoga yako richaabra..mwenzio ajing'ata huko umemtaja[emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaanzaje kuniuzia kesi alikua anatapata tapa tuDuh jamani kwahiyo alitaka kukuuzia kesi?
Anatafuta kiki kwa pikipiki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Stable hukuwepo yaani kilikuwa kichambo kwa kwenda mbele [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mpaka dj kimambi akakimbia baraza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzako nakaribia kuhitimu mafunzo ya ushilawadu.
we cheka tuu uongeze siku zakuishi.
Mimi interview yangu huiwezi wewe labda nihojiwe na
Shunie
Sakayo
Emmyta
Ukhuty
Cab
Ney Bright
Hao wataniweza wewe na maswali yako ya Hogo au kibamia mi si sahizi yangu hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ikibidi tutambadili muongozaji kipindi awe Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mama mimi nimenasia hapa kwenye ushilawadu kama kuna mwingine uniite nisikose uhondo.nisikose tena kama nilivyokosa wa husna the bosslady
Sio saanaWewe ni tatizo ujue[emoji23] [emoji23]
Pm my wiiUlijuaje mi ni msomi? ?
Lini nimekutumia picha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi interview yangu huiwezi wewe labda nihojiwe na
Shunie
Sakayo
Emmyta
Ukhuty
Cab
Ney Bright
Hao wataniweza wewe na maswali yako ya Hogo au kibamia mi si sahizi yangu hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ikibidi tutambadili muongozaji kipindi awe Shunie
Juz na majuz lilikuwepo!?
Naweza andaa platform na nikamuita shunie aku host
muosha rungu
Naona umeamka kwa kasi mama.Cuzoo achana na hizo mambo hata sisi hatuwezi kukuhoji acha tuendelee kuwa wasomaji sisi tutaendelea kuhojiana tukikutana kama kawaida yetu
Morning to u NIYOMBARE hope umeamshwa salamaNaona umeamka kwa kasi mama.
Good morning baby shunie.
Mungu yu mwema ameniamsha salama salmini.Morning to u NIYOMBARE hope umeamshwa salama
Ameen [emoji120] [emoji120] Mungu ni mwaminifu sana kwetuMungu yu mwema ameniamsha salama salmini.
Amina.Ameen [emoji120] [emoji120] Mungu ni mwaminifu sana kwetu
Hizi mambo mpendwa waachie wenyewe,sisi acha tuwe wasomaji na wachangamsha barazaMimi interview yangu huiwezi wewe labda nihojiwe na
Shunie
Sakayo
Emmyta
Ukhuty
Cab
Ney Bright
Hao wataniweza wewe na maswali yako ya Hogo au kibamia mi si sahizi yangu hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anashushua yule[emoji23][emoji23][emoji23]sipati picha hiyo sikuTunamsubiria kwa hamu ila kauzu yule sipati picha hiyo siku
Hiyo siku unitag sawa eeh
DJ sepetu
Subiri nikakutafutie uzi kule wameelekezaNifundishe kutag serious carba sijui
muosha rungu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nawaza tu hiyo sikuAnashushua yule[emoji23][emoji23][emoji23]sipati picha hiyo siku