Nauchukia Utanzania wangu

Huo n mtazamo wako mkuu.

Labda ungesema niipende na kujivunia Tanganyika kidogo ningekuelewa, bt Tanzania hell no,

That damage can not be repaired
Wewe unaweza kutenganisha Ule mchanga wa Zanzibar na Bara uliochanganywa na waasisi?

Tanzania ni Nchi yetu sote,

Tanga yika itarudi tu,

Serikali tatu ndio suluhu ya yote.
 
Wewe unaweza kutenganisha Ule mchanga wa Zanzibar na Bara uliochanganywa na waasisi?

Tanzania ni Nchi yetu sote,

Tanga yika itarudi tu,

Serikali tatu ndio suluhu ya yote.
Bro kwani ule mchanga ulikuwa kiasi gani, last time i checked haukujaa kikombe,

Ile ni theoretical thing, if not political affiliation..

But anyways let wait for them to decide bt we both know its wont gonna happen
 
Na sishanga kwenye hili maana Nchi yoyote ya chama kimoja ambayo imejivika kivuli cha vyama vingi, nchi yoyote isiyo heshimu uhuru wa kujieleza, uhuru wa kidemokrasia hili n jambo la kawaida kutokea..
Sio kote hali ipo hivyo

Zipo nchi zenye chama kimoja na hazipo kama Tanzania na si kama Tanzania tu hata nchi za vyama vingi hazigusi moto wake.
 
Bro kwani ule mchanga ulikuwa kiasi gani, last time i checked haukujaa kikombe,

Ile ni theoretical thing, if not political affiliation..

But anyways let wait for them to decide bt we both know its wont gonna happen
Unawezaje kutenganisha uzao na Damu iliokwisha changamana Kwa miaka zaidi ya 60?
 
Sio kote hali ipo hivyo

Zipo nchi zenye chama kimoja na hazipo kama Tanzania na si kama Tanzania tu hata nchi za vyama vingi hazigusi moto wake.
Kwa africa mm naona sisi ndo tuponyuma sn kisiasa huo ndo ukweli,,,

Strong political part km ANC huko south africa umeona yalio mkuta…

Now atake asitake serikali ya shirikisho inaenda kuundwa, hapa tz tunafail wapi?

Mfumo mbovu, katiba mbovu hupelekea kulewa madaraka kwa viongozi na mwishowe kuongoza nchi kwa maslai binafsi na sio maslai ya taifa kwa ujumla
 
Kama mpaka stationary imepewa tenda ya sukari mkuu unangoja mpaka na sisi tuje tupigwe mnada
Mm nishaanza kutafuta uelekeo, mnada huo hauwez nikuta bado nalanda landa hapa..

Hii nchi haina future yoyote kwa kijana masikini ovaaa!!!!
 
Usije ukafikiri mfumo wa chama kimoja au vyama vingi ndio suluhisho la maendeleo ya Africa sahau kuhusu hilo.
 
Hii nchi uki kaa chini na kutumia akili kuwaza utaumia sana,wanao ona kawaida ni wanaotumia matumbo yao.
 
Unawezaje kutenganisha uzao na Damu iliokwisha changamana Kwa miaka zaidi ya 60?
Everything possible bro, cz tunaweza kuanza na next generations

Bt mm sio muumini sn wa huo mvunjiko bt wht i belive its time now kuanza kupitia upya hayo makubaliano y kimuungano na kurekebisha mapungufu ya kimuundo.

Serikali 3 ndo suluisho, bt huwez kuipata hiyo serikali 3 bira marekebisho y katiba y sasa.. marekebisho ambayo wenyedhamana hawataki kabisa kuyasikia
 
Hii nchi uki kaa chini na kutumia akili kuwaza utaumia sana,wanao ona kawaida ni wanaotumia matumbo yao.
Kabisa ndugu.

Na wale wanaohic ipo siku system itawakumbuka, jambo ambalo ni ndoto za mchana.

Lini mwenyeshibe kamkumbuka mwenye njaa?
 
Tangulini sokwe akawa na uraia?

Km umekubali ww n sokwe basi wacha nikutafutie tour guide labda mtaelewana..

Mm sijasomea mambo ya wanyama,
Mbona tunajibizana hapa!! Unasemaje kuwa hatuelewani? Yawezekana nawe ni sokwe ila hawajakuanbia tu
 
Najivunia utanzania ila kishindo upande kutokana na mambo ya hovyo yanayo endelea ndani ya tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…