Naufananisha Uwanja wa Ndege wa Chato na Ofisi ya Spika ya Urambo

Haya yote yatapita duniani tunapita ukikumbuka hilo hakuna kinyamkera atakughasi
 
Wivu wenye husuda Kamwe hauna nafasi Duniani na Mbinguni.
Ni swala la muda tu utakuja kuelewa kinachozungumzwa maana kuna baazi ya watu hawaioni fitina wakati wa kuingia bari huiona wakati wa kuondoka
 
KWA AINA YA UWANJA UNAOJENGWA PALE,NGOJA NITAFUTE NAULI NIKATEMBELEE CHATO KUONA FURSA ZA UWEKEZAJI
Uwanja wa ndege sio stendi ya mabasi kusema tutauza korosho madirishani kwa ndege...! Mi naona punda wangejengewa tu fly over maana taa wamezizoea sasa
 
KWA AINA YA UWANJA UNAOJENGWA PALE,NGOJA NITAFUTE NAULI NIKATEMBELEE CHATO KUONA FURSA ZA UWEKEZAJI

Uanze nakiwanda cha magodoro ya bei nafuu . Si uliona kale kagodoro waliketi familia last week [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
mkuu kuna chochote unajua kuhusu mmiliki HALISI wa kwanza wa hii kamuni..

Mbaya zaidi Kampuni inayofanya ujenzi ni YAKE MWENYEWE.. MAYANGA CONTRACTORS ENGINEERING LTD...
Ni ile ile iliyofanya upanuzi wa Barabara inayotaka Mwanza Airport..
Aibu kabisa.
mkuu mbona ile ya upanuzi wa barabara ya Airport ni NYANZA ROAD WORK ama!!
 
Mbaya zaidi Kampuni inayofanya ujenzi ni YAKE MWENYEWE.. MAYANGA CONTRACTORS ENGINEERING LTD...
Ni ile ile iliyofanya upanuzi wa Barabara inayotaka Mwanza Airport..
Aibu kabisa.
Kumbe huyu bwana naye ni mpiga dili? mama yangu huyu2 mzee msema kweli mpenzi wa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…