Hicho ni aina ya kichaa, kukaa kunaongeza gharama? Hao ni mawakala wa shetani.🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum iliyoambatanishwa kwenye kuta za ndani ya ndege. Teknolojia hiyo imeelezwa kuwa tayari ipo kwenye hatua za majaribio.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, mfano wa safari inayotajwa ni kutoka Tanzania hadi Ufaransa, ambayo inakadiriwa kuchukua masaa 9 angani, huku nauli yake ikisemekana kuwa ni euro 10 tu — takriban shilingi elfu 30 za Kitanzania.
Mpango huo unalenga hasa kuwafikia wasafiri wa kipato cha chini wanaotamani kusafiri nje ya nchi kwa bei nafuu, sawa na nauli ya ndani ya nchi kupitia treni au mabasi.
Swali linabaki:
Uko tayari kusimama masaa 9 angani kwa bei ya soda na maandazi?
Duuh Hatari!🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum iliyoambatanishwa kwenye kuta za ndani ya ndege. Teknolojia hiyo imeelezwa kuwa tayari ipo kwenye hatua za majaribio.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, mfano wa safari inayotajwa ni kutoka Tanzania hadi Ufaransa, ambayo inakadiriwa kuchukua masaa 9 angani, huku nauli yake ikisemekana kuwa ni euro 10 tu — takriban shilingi elfu 30 za Kitanzania.
Mpango huo unalenga hasa kuwafikia wasafiri wa kipato cha chini wanaotamani kusafiri nje ya nchi kwa bei nafuu, sawa na nauli ya ndani ya nchi kupitia treni au mabasi.
Swali linabaki:
Uko tayari kusimama masaa 9 angani kwa bei ya soda na maandazi?
Nyie jazaneni tu kweye hiyo ndege muone kama mtafika ulaya, mtashangaa tu ndege imejaa watu na kuanguka huku wakisingizia wafanyabiashara na watalii walikuwa wamejaa mno. Maadui zetu hawalali kutaka kuangamiza Waafrika, walianza na dini za kizushi lakini bado tu tunadunda.🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum iliyoambatanishwa kwenye kuta za ndani ya ndege. Teknolojia hiyo imeelezwa kuwa tayari ipo kwenye hatua za majaribio.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, mfano wa safari inayotajwa ni kutoka Tanzania hadi Ufaransa, ambayo inakadiriwa kuchukua masaa 9 angani, huku nauli yake ikisemekana kuwa ni euro 10 tu — takriban shilingi elfu 30 za Kitanzania.
Mpango huo unalenga hasa kuwafikia wasafiri wa kipato cha chini wanaotamani kusafiri nje ya nchi kwa bei nafuu, sawa na nauli ya ndani ya nchi kupitia treni au mabasi.
Swali linabaki:
Uko tayari kusimama masaa 9 angani kwa bei ya soda na maandazi?
Labda kwa ungo🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum iliyoambatanishwa kwenye kuta za ndani ya ndege. Teknolojia hiyo imeelezwa kuwa tayari ipo kwenye hatua za majaribio.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, mfano wa safari inayotajwa ni kutoka Tanzania hadi Ufaransa, ambayo inakadiriwa kuchukua masaa 9 angani, huku nauli yake ikisemekana kuwa ni euro 10 tu — takriban shilingi elfu 30 za Kitanzania.
Mpango huo unalenga hasa kuwafikia wasafiri wa kipato cha chini wanaotamani kusafiri nje ya nchi kwa bei nafuu, sawa na nauli ya ndani ya nchi kupitia treni au mabasi.
Swali linabaki:
Uko tayari kusimama masaa 9 angani kwa bei ya soda na maandazi?
Nyie jazaneni tu kweye hiyo ndege muone kama mtafika ulaya, mtashangaa tu ndege imejaa watu na kuanguka huku wakisingizia wafanyabiashara na watalii walikuwa wamejaa mno. Maadui zetu hawalali kutaka kuangamiza Waafrika, walianza na dini za kizushi lakini bado tu tunadunda.
- Imekaa vizuri hii.Nitamwambia konda wa ndege akate nauli ya watu wawili ambao ni mimi mwenyewe naenda na kurudi
We Jamaa_Mbishi sana.Nyie jazaneni tu kweye hiyo ndege muone kama mtafika ulaya, mtashangaa tu ndege imejaa watu na kuanguka huku wakisingizia wafanyabiashara na watalii walikuwa wamejaa mno. Maadui zetu hawalali kutaka kuangamiza Waafrika, walianza na dini za kizushi lakini bado tu tunadunda.
Kwani hawawezi kuruhusu nipande na benchi au stuli?🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum iliyoambatanishwa kwenye kuta za ndani ya ndege. Teknolojia hiyo imeelezwa kuwa tayari ipo kwenye hatua za majaribio.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, mfano wa safari inayotajwa ni kutoka Tanzania hadi Ufaransa, ambayo inakadiriwa kuchukua masaa 9 angani, huku nauli yake ikisemekana kuwa ni euro 10 tu — takriban shilingi elfu 30 za Kitanzania.
Mpango huo unalenga hasa kuwafikia wasafiri wa kipato cha chini wanaotamani kusafiri nje ya nchi kwa bei nafuu, sawa na nauli ya ndani ya nchi kupitia treni au mabasi.
Swali linabaki:
Uko tayari kusimama masaa 9 angani kwa bei ya soda na maandazi?
😂😂😂😂Kwenda kwetu mwanza laki 3 kwenda na kurudi hiyo si bora niende ufaransa......aaaah nipo tayari ✋
😂😂😂😂😂Kumbe hujawajua waafrika wewe. Kwabei hiyo hata kwenye buti wanaenda Bora safari ifikwe