cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂Hiyo labda itakuwa nauli ya Ufaransa ya Bonyokwa.
😂😂😂😂Hiyo labda itakuwa nauli ya Ufaransa ya Bonyokwa.
Coca hujambo?😂😂😂😂
Uzururaji ulikuwa NI kipaji mkuu hakuna kitu napenda Kama kuzurura ovyo kuna siku nilipotea kigoma ebwanaee nilishukuru Mungu kwamba nilikuwa na ela za kutoshaNitakua naenda na kugeuka nayo kama kipindi fulani cha ujana wangu nilikua nikitaka kujua mahali au kutalii napanda gari naenda mikoa ya jirani alafu nageuka kurudi 🤣🤣🤣
Nitamwambia konda wa ndege akate nauli ya watu wawili ambao ni mimi mwenyewe naenda na kurudi.
Mwendo kasi 🤣🤣🤣🤣🤣Kwa usalama wa ndege na abiria kitu hicho haiwezekani za jeshi tu wanakaa kwenye mabenchi ya kutazamana.
Imekuwa treni ya daladala hio
Bageshi. Laki tatu ukinunua tiketi kwa muda gani kabla ya safari? Nimetoka kugongwa malaki kibao majuzi tu hapa dah! 🤔Kwenda kwetu mwanza laki 3 kwenda na kurudi hiyo si bora niende ufaransa......aaaah nipo tayari ✋
Sasa kigoma napo ni mahali pa kupotea mkuu?😄😄 Wewe ulivunja recordUzururaji ulikuwa NI kipaji mkuu hakuna kitu napenda Kama kuzurura ovyo kuna siku nilipotea kigoma ebwanaee nilishukuru Mungu kwamba nilikuwa na ela za kutosha
Usafir huu ukianza Tu nitakuwa nazurura Marseille.
Ohoooo june tayari likizo time, tiketi lazma zipande, daaah acha tu niende ufaransa ntashika tu bomba masaa tisa 😁Bageshi. Laki tatu ukinunua tiketi kwa muda gani kabla ya safari? Nimetoka kugongwa malaki kibao majuzi tu hapa dah! 🤔
Sijambo Dr vipi wee?!Coca hujambo?
🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum iliyoambatanishwa kwenye kuta za ndani ya ndege. Teknolojia hiyo imeelezwa kuwa tayari ipo kwenye hatua za majaribio.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, mfano wa safari inayotajwa ni kutoka Tanzania hadi Ufaransa, ambayo inakadiriwa kuchukua masaa 9 angani, huku nauli yake ikisemekana kuwa ni euro 10 tu — takriban shilingi elfu 30 za Kitanzania.
Mpango huo unalenga hasa kuwafikia wasafiri wa kipato cha chini wanaotamani kusafiri nje ya nchi kwa bei nafuu, sawa na nauli ya ndani ya nchi kupitia treni au mabasi.
Swali linabaki:
Uko tayari kusimama masaa 9 angani kwa bei ya soda na maandazi?
Aisee🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum iliyoambatanishwa kwenye kuta za ndani ya ndege. Teknolojia hiyo imeelezwa kuwa tayari ipo kwenye hatua za majaribio.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, mfano wa safari inayotajwa ni kutoka Tanzania hadi Ufaransa, ambayo inakadiriwa kuchukua masaa 9 angani, huku nauli yake ikisemekana kuwa ni euro 10 tu — takriban shilingi elfu 30 za Kitanzania.
Mpango huo unalenga hasa kuwafikia wasafiri wa kipato cha chini wanaotamani kusafiri nje ya nchi kwa bei nafuu, sawa na nauli ya ndani ya nchi kupitia treni au mabasi.
Swali linabaki:
Uko tayari kusimama masaa 9 angani kwa bei ya soda na maandazi?
Narudia jazaneni tu kwenye hizo ndege za michongo, mtanishukuru mkiwa mnaanguka na mizigo yenu.We Jamaa_Mbishi sana.