Unaufahamu utaratibu uliopo kisheria unaohusu ushirikishwaji wa wadau wa usafiri? Ni wazi utaratibu huo ulifuatwa na hivyo hakuna namna inabidi tukubaliane na hizo nauli mpya.USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa kati ya Watoa Huduma na Wadau wa Usafiri (Wananchi).
Mbona hao kenge wa LATRA hawajaweka nauli halisi Kwa Kila Mkoa kwenye website Yao?USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa kati ya Watoa Huduma na Wadau wa Usafiri (Wananchi).
Mafuta ya nini ya yanayoedelea kushuka bei?Nauli zinapanda huku bei ya mafuta itaendelea kushuka hawa jamaa wa LATRA hawana tofauti na vishoka...
Mama kaupiga mwingi!TUNASULUBISHWA!!!
Diesel na petrol 2024 soko la Dunia wanategemea yatauzwa kati ya 70usd mpaka 100 usd kwa Pipa moja lenye lita 200...Mafuta ya nini ya yanayoedelea kushuka bei?