Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

Jina jipya la nauli mpya ni kwamba ni nauli za Samia, wanadau tulimchsgua wenyewe, i ngawa ukweli ni kwamba kadondokewa na bahati. Ila ukweli kipindi cha Samia wamepandisha nauli mara 2 au 3 hivi, na wanatarajia mwakani wqpandishe muda kama huu tena hii ndio makubaliano yao na Latra.

Nauli kupanda sio tatizo ila tatizo ni kuoanda kwa gharama za maisha, na hawana mpango wa kushusha hizi gharama zaidi ya wao wenyewe kuneemeka. Raia nao wanangoja labda Mbowe na familia yake waandamane kuwatetea wa wakiwa wamelala.

Endeleeni kufaidi nauli za Samia.
Hii imekaa vizuri, NAULI ZA SAMIA.
 
Serikali ifike wakati iangalie hali ya kipato ya wananchi wanao sababisha mzunguko wa pesa maana nchi yetu inawadundulizaj wengi kuliko wenye biashara kubwa sasa wanapigana maeneo ya msingi kama haya tunajikuta watu tunafeli safirishi vibiashara vyetu kutafuta masoko mkoani huku ni kuuita umaskini kwa wananchi tatizo serikali yetu inamuangalia sana mwenye nacho ili wamuonhezee lakin maoni yangu sakata la nauli lijadiliwe upya litaludisha nyuma wadundulizaji.
 
Nauli ni rafiki sana hasa ukizingatia tumepandishiwa mshahara, hakuna mtanzania aneishi kwa chini ya milioni moja kwa mwezi, hakika serikali ya mama inaupi
Nauli ni rafiki sana hasa ukizingatia tumepandishiwa mshahara, hakuna mtanzania aneishi kwa chini ya milioni moja kwa mwezi, hakika serikali ya mama inaupiga mwingi tuwape maua yao.
yan ww syo kwamba wewe unaishika hiyo milion moja kwa mwez bas wengine wanashika hapana maisha syo sawa em kakojoe ukalale kulinganisha maisha yako na wengine ni upuuz
 
Kama ilivyo ada kwa UVCCM kupongeza mazuri ya serikali, basi ni wakati muafaka UVCCM waandae maandamano ya kumpongeza Raisi kwa kupandisha bei ya nauli, ili wabunge wenye mabasi akina Abood, Msukuma na wengine akina Super Feo watajirike.

UVCCM itapendeza kama maandamano ya kupongeza nauli mpya yatafanyika jumatatu 11-12-2023.

USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli.

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa kati ya Watoa Huduma na Wadau wa Usafiri (Wananchi).

Mama toka aingie madarakani, si mafuta, si tozo, si nauli zinapanda tu na hata mafuta soko la dunia yapo chini sana sema hizi kodi ni zaidi ya nusu ya bei.
 
Back
Top Bottom