Jina jipya la nauli mpya ni kwamba ni nauli za Samia, wanadau tulimchsgua wenyewe, i ngawa ukweli ni kwamba kadondokewa na bahati. Ila ukweli kipindi cha Samia wamepandisha nauli mara 2 au 3 hivi, na wanatarajia mwakani wqpandishe muda kama huu tena hii ndio makubaliano yao na Latra.
Nauli kupanda sio tatizo ila tatizo ni kuoanda kwa gharama za maisha, na hawana mpango wa kushusha hizi gharama zaidi ya wao wenyewe kuneemeka. Raia nao wanangoja labda Mbowe na familia yake waandamane kuwatetea wa wakiwa wamelala.
Endeleeni kufaidi nauli za Samia.