kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Sisi wabunge hatukuchaguliwa na wananchi bali tuliteuliwa na mamlaka hivyo msitegemee tuwatetee kabisa zaidi ya kuilinda mamlakaDa kweli nchi hii hakuna kabisa wa kutetea wananchi hao wabunge wenyewe wanaangalia maslahi yao tu
NAULI YA KUTOKA DAR KWENDA MKOANIKwenda Moshi bei gani?
CHADEMA, ZITO, MARIA SARUNGI, FATA KARUME ....and any others, lisemee hili!
Yes,na kama hawawezi watembee kwa miguu, kutwa kulalama tu humu, street battles wanaminya mikia yaoMbona nauli ndogo sana hizo mie nashauri waongeze kwa asilimia 350% ili akili zitukae sawa tujue umuhimu wa katiba mpya!
Jibu hilo hapoKwenda Moshi bei gani?
nakuelewa sana, ndiyo maana wewe umeficha true identity yako kwa woga kama mimi na wewe. You also swim in the same boat!Why utegemee watu wengine wakupiganie wewe kudai haki yako?,why utegemee Mh.Zito akupiganie wewe?,uoga wa kizuzu ndio kikwazo cha middle class, nchi nyingine mkate ukipanda bei ,wananchi wake wanaingia mitaani, hapa ni kukimbilia kwenye soft landing!,Mh.Mbowe kawekwa jela kwa fabricated cases kwa more than 250 days,humu wote wakawa kimya, elewa kuishi more than 250 days bila ya kuwa na familia yako kunavyotesa,sasa aje akupiganie mwoga wewe kuhusu nauli, kama nauli ni kubwa tembea kwa miguu, ulishawahi kuambia kama nauli ya ferry ni kubwa,piga mbizi!,mtakula manyasi ILA president apate presidential jet!