Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

Mtoa mada.
Nauli mpya zinaanza kutumika tarehe nane ya mwaka gani ?

Mada yako haijakamilika.
 
Mtetezi wa wanyonge yupo kabulini sahv ,alisema mtanikumbuka lakin
 
Wananchi wameumizwa haswa. Katika historia yetu haijawahi tokea nauli zikawa juu kiasi hiki kwa mkupuo moja.

Nauli zimepanda kiwango kikubwa wakati petrol imeshuka kidogo (najua petrol is not the only determiant factor katika kuamua nauli), but by all measures zimepanda bila kufikiria uwezo wa walio wengi watumiaji na ukweli wa soko la uendeshaji biashara ya usafirishaji.

CHADEMA and any others, lisemee hili!

CCM najua ni walafi hawana habari na yeyote!
 
Kwenda Moshi bei gani?
NAULI YA KUTOKA DAR KWENDA MKOANI

DAR TO ARUSHA TSH 44000

DAR TO BUKOBA TSH 97000

DAR TO DODOMA TSH 31000

DAR TO IRINGA TSH 33000

DAR TO KIGOMA TSH 101000

DAR TO LINDI TSH 32000

DAR TO MBEYA TSH 56000

DAR TO MOROGORO TSH 13000

DAR TO MOSHI TSH 37000

DAR TO MTWARA TSH 39000

DAR TO MUSOMA TSH 92000

DAR TO MWANZA TSH 78000

DAR TO SHINYANGA
TSH 67000

DAR TO SINGIDA TSH 46000

DAR TO SONGEA TSH 73000

DAR TO SUMBAWANGA
TSH 95000

DAR TO TABORA
TSH 68000

DAR TO TANGA
TAH 23000

DAR TO MPANDA
TSH 79000

DAR TO GEITA TSH 83000

DAR TO NJOMBE TSH 48000

DAR TO BABATI TSH 55000

DAR TO BARIAD TSH 67000

DAR TO KAHAMA TSH 68000
 
CHADEMA, ZITO, MARIA SARUNGI, FATA KARUME ....and any others, lisemee hili!
20230906_063230.jpg
 
Kuna Tanzania na Tanganyika bro unaongelea ipi? Hao wote uliowataja ukimtoa kabwe na act yake ambao no watanzania hao wengine ni watanganyika jamii ya watu wa hovyo Duniani kwasasa. Kama walivyokubali kuporwa ardhi yao ndio watakavyoporwa uhuru wao na chochote kilicho chao
 
Wakati upinzani wanapodai katiba mpya huwa mnasema wanainch hawana haja na katiba wanahitaji bara bara na maji, unapofika uchaguzi huwa mnasema upinzani wanachelewesha maendeleo! Kwa hamtaki CCM itoke madarakani, kwa kuwa upinzani unawachelewesha, kwa kuwa hamtaki katiba mpya, endelea kuumizwa, vinginevyo nenda kwa comred kinana na makonda ndio wasemaji wa chama! Acheni upinzani maana wao hawapo serikalini, wanapokuja muwape ushirikiano huwa mnawaona wanavuruga amani, na kuwacheleweshea muda! Mtakumbuka shuka kumekucha ndugu!

Note: Amani haitafutwi wa kati wa vita, amani hutafutwa wakati hakuna vita
 
Simuoni mtetezi sababu wote hao ni wafanyabiashara wacha mwananchi wagaragazwe!
 
Mbona nauli ndogo sana hizo mie nashauri waongeze kwa asilimia 350% ili akili zitukae sawa tujue umuhimu wa katiba mpya!
 
Why utegemee watu wengine wakupiganie wewe kudai haki yako?,why utegemee Mh.Zito akupiganie wewe?,uoga wa kizuzu ndio kikwazo cha middle class, nchi nyingine mkate ukipanda bei ,wananchi wake wanaingia mitaani, hapa ni kukimbilia kwenye soft landing!,Mh.Mbowe kawekwa jela kwa fabricated cases kwa more than 250 days,humu wote wakawa kimya, elewa kuishi more than 250 days bila ya kuwa na familia yako kunavyotesa,sasa aje akupiganie mwoga wewe kuhusu nauli, kama nauli ni kubwa tembea kwa miguu, ulishawahi kuambia kama nauli ya ferry ni kubwa,piga mbizi!,mtakula manyasi ILA president apate presidential jet!
 
Mbona nauli ndogo sana hizo mie nashauri waongeze kwa asilimia 350% ili akili zitukae sawa tujue umuhimu wa katiba mpya!
Yes,na kama hawawezi watembee kwa miguu, kutwa kulalama tu humu, street battles wanaminya mikia yao
 
Mpaka Sasa Hivi Tanzania Imekuwa MH Ile Ndege Ya Malaysia Inapotea
Uholera Umezidi Kama Vile Hakuna Mamlaka Zenye Kuona Hali Ngumu
 
Why utegemee watu wengine wakupiganie wewe kudai haki yako?,why utegemee Mh.Zito akupiganie wewe?,uoga wa kizuzu ndio kikwazo cha middle class, nchi nyingine mkate ukipanda bei ,wananchi wake wanaingia mitaani, hapa ni kukimbilia kwenye soft landing!,Mh.Mbowe kawekwa jela kwa fabricated cases kwa more than 250 days,humu wote wakawa kimya, elewa kuishi more than 250 days bila ya kuwa na familia yako kunavyotesa,sasa aje akupiganie mwoga wewe kuhusu nauli, kama nauli ni kubwa tembea kwa miguu, ulishawahi kuambia kama nauli ya ferry ni kubwa,piga mbizi!,mtakula manyasi ILA president apate presidential jet!
nakuelewa sana, ndiyo maana wewe umeficha true identity yako kwa woga kama mimi na wewe. You also swim in the same boat!
Two, hawa niliowataja wana jukwaa la kusema...kwenye mikutano ya siasa na press conferences....mimi sina those platforms!

Nadhani umeielewa
 
Back
Top Bottom