Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

Hawa jamaa ni wezi sana sana
 
Wakikamtwa na kutekwa kuuwawa kwa uchochezi nyie ndo wakwanza kushangilia et chadomo ooh wanatumiwa na mabeberuuu....

Sasa tulieni dawa iwaingie..... mpaka mseme kwa kitnganyika na bado ccm ndo chama dola lenye hadhi ya utawala na zalendo... chadomo hawana hata ofisi
 
Kataaa CCM na upinzani hawana uwezo wa kuongoza solution tupate katiba mpya ukubtukiendelea kuikataa CCM, mana inaumiza wananchi na kuletea umaskini , CCM inatengeneza mabwenyenye, mda si mrefu tutakuwa na mamwinyi
 
Saa nyingine common sense sio common sense kihivyo

Ukraina wameporwa ardhi yao?. Huo ni uhalisia?.

Tanganyika ardhi yake imeporwa wapi...?
...tuwekee ushahidi hapa tuwatume JWTZ-Six wawaondoe waporaji. Zaidi ya hapo punguza matusi.

Mh. Zelenski... Unafikiri kwanini Ukraina wameporwa ardh?

Jibu unalo.... ni "Watu wa hovyo Duniani" au?

Use your most recent common sense. Duh
 
CHADEMA wameshindwa kutumia vizuri ruzuku. Ruzuku ni fedha zillizotoka kwenye sehemu ya kodi zetu Wananchi.
CHADREAMERS Wameshindwa kujitetea kuweka hata mafuta kwenye helikopta. Ndio waje watusemee sie Watanzania?

Wameshindwa kuwasemea 'Sauti ya Watanzania' tena wenzao hao, ndio waje watusemee sie Wananchi?

Wamesusa!



Wakisusa tutafanyaje?
 
Dizeli na Petroli ni shs ngapi vile? Kama maguta yamepanda bei, nauli zitaachaje kupanda.
 
Mkuu naona ni vema uanzishe Uzi wako,wa kuuliza matumizi ya ruzuku ya CDM.Huu uzi unahusu nauli sio matumizi ya ruzuku ya chama.
 
Sawa, lakini Kwanini kila siku sisi wananchi tusubiri Chadema waongee? Je sisi hatuwezi kuongea kwa vitendo Hadi tusubiri Chadema? Jibu ni hapana. Chadema tulieni Hadi sisi wananchi akili zitukae Sawa. Hatuwezi tukawa na taifa la wajinga la kusubiri Hadi Chadema na wanaharakati kutusemea minyororo tunayofungwa kila siku na Hawa wakoloni weusi na matapeli.
 
Itakuwa kilio na kusaga meno kwa abiria walala hoi
 
.@Lucas mwashambwa atang'aka
 
Watu tunasukuma X5 unatuuliza nauli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…