Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

Hao wadau walioshirikishwa waje hapa waseme wametoa maoini gani maan uku watu ni vilio😭😭
 
Mnakula mema ya nchi, honestly urban life is so draining and exhausting.
kwa kweli city life siipendi. Maisha yangu yote huwa nikija dar shughuli zilizonileta zikiishi huwa siongezi hata dakika 1 naondoka. Nikitoka hata nikifika chalinze tu i feel much alive again. Mwaka jana nilifika dar saa 12 alfajiri, nikalala, mida ya saa 1 jioni tukaenda ukumbini harusini saa 8 usiku nikaamsha. Tukalala morogoro.

Dar ina kera sana, kuna nyakati miaka ya enzi za jk nilikuwaga na manzi anafanya kazi dar, kila mwezi nilikuwa nakuja, pindi tiketi chee za fastjet. Kutoka mkolani mwanza to airport nilikuwa napanda hiace. Kipengele ilikuwa airport dar to shekilango. Kero tupu.

Ila mwendokasi dar niliupenda sana ule usafiri. Very comfortable aise. Hapa kati nilikuwa nasikia nao una changamoto.

Sisi upcountry kuna hadi baiskeli 400. Unaweza hata kutembea.
 
Dawa ni kuongeza tu, tunaouza nyanya, maembe, vitunguu n.k tuongeze beiiiiiiiiiii.
 
Back
Top Bottom