Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaaaani hapa wameanza bado tutasemaTunaiomba mamlaka husika kulitizama hili kwani vigezo vilivyotumika havifahamiki ukizingatia mafuta yameshuka bei kwa shs 200/-
MAMLAKA HUSIKA USAIDIENI UMMA HUU WA WANYONGE,SHUSHENI NAULI NA ONGEZENI SHS 50/- KWA NAULI ZA MIJINI, INAUMIZA MNO.
Mwenge bocco 900gongo la mboto -masaki =900,badala ya 700 ya awali.
ongezeko la shilingi 200.serikali ya mama samia iko makini sana.
😂😂😂😂😂😂Ina maana hujui kuwa mama anaupiga mwingi? Acha kulia lia. Kwa nini washirikishe wananchi? Huoni wananchi wako bize kujifunza katiba?Mwananchi aliyeshirikishwa tafadhali ajitokeze hapa hadharani, tungefurahi kuona walau wananchi watano tu wanajitokeza hapa hadharani.
""Ni hatari sana kwa waandamizi kujiingiza kwenye biashara za usafirishaji""Wasafirishaji kama wanakomoa wananchi,ni hatari
wildlifer uko ughaibuni au upcountry?Kwa kweli kila jamii ina changamoto zake. Poleni aise.
Probably hapa kuna hujuma za kufitinisha kiongozi mkuu na wananchi walio wengi.gongo la mboto -masaki =900,badala ya 700 ya awali.
ongezeko la shilingi 200.serikali ya mama samia iko makini sana.
Upcountry chief.wildlifer uko ughaibuni au upcountry?
Mnakula mema ya nchi, honestly urban life is so draining and exhausting.Upcountry chief.
kwa kweli city life siipendi. Maisha yangu yote huwa nikija dar shughuli zilizonileta zikiishi huwa siongezi hata dakika 1 naondoka. Nikitoka hata nikifika chalinze tu i feel much alive again. Mwaka jana nilifika dar saa 12 alfajiri, nikalala, mida ya saa 1 jioni tukaenda ukumbini harusini saa 8 usiku nikaamsha. Tukalala morogoro.Mnakula mema ya nchi, honestly urban life is so draining and exhausting.
Mbona ni hatari,ilitakiwa waongeze Tsh mia tu,maana mafuta yameshukaMwenge bocco 900
Usiniulize Morocco huko. Bei za ubber
Wapi hukoKuna wengine wameongeza 500 nzima