Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,493 Reaction score 5,591 Oct 9, 2023 #1 Habari wakuu , naomba kuuliza...
Mhaya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2023 Posts 1,831 Reaction score 5,489 Oct 9, 2023 #2 Nenda kwenye website ya Latra, wameweka nauli za kila sehemu na kila mkoa Nauli kutoka Moshi hadi Mwanza Basi la kawaida - 36,000/= Basi la Semi-luxury - 49,000/=
Nenda kwenye website ya Latra, wameweka nauli za kila sehemu na kila mkoa Nauli kutoka Moshi hadi Mwanza Basi la kawaida - 36,000/= Basi la Semi-luxury - 49,000/=
Mervin JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 1,914 Reaction score 2,630 Oct 9, 2023 #3 Lexus SUV said: Habari wakuu , naomba kuuliza... Click to expand... Ni shilingi elfu arobaini na tano. Mabasi ni Nyehunge na Masalu.
Lexus SUV said: Habari wakuu , naomba kuuliza... Click to expand... Ni shilingi elfu arobaini na tano. Mabasi ni Nyehunge na Masalu.
Mervin JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 1,914 Reaction score 2,630 Oct 9, 2023 #4 Mhaya said: Nenda kwenye website ya Latra, wameweka nauli za kila sehemu na kila mkoa Nauli kutoka Moshi hadi Mwanza Basi la kawaida - 36,000/= Basi la Semi-luxury - 49,000/= Click to expand... Hayo huwa ni ya uongo. Basi gani hilo nauli elfu thelathini na sita? Ambalo ni la kawaida ni kampuni gani
Mhaya said: Nenda kwenye website ya Latra, wameweka nauli za kila sehemu na kila mkoa Nauli kutoka Moshi hadi Mwanza Basi la kawaida - 36,000/= Basi la Semi-luxury - 49,000/= Click to expand... Hayo huwa ni ya uongo. Basi gani hilo nauli elfu thelathini na sita? Ambalo ni la kawaida ni kampuni gani
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,981 Reaction score 3,604 Oct 9, 2023 #5 Nyehunge 40 Masalu 40 Asante Rabi 40 Nauli ikizidi sana ni 45
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Oct 9, 2023 #6 Mervin said: Hayo huwa ni ya uongo. Basi gani hilo nauli elfu thelathini na sita? Ambalo ni la kawaida ni kampuni gani Click to expand... Nauli ya Latra huwa ipo juu tofauti na ya mmiliki wa bus
Mervin said: Hayo huwa ni ya uongo. Basi gani hilo nauli elfu thelathini na sita? Ambalo ni la kawaida ni kampuni gani Click to expand... Nauli ya Latra huwa ipo juu tofauti na ya mmiliki wa bus