Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

Nenda kwenye website ya Latra, wameweka nauli za kila sehemu na kila mkoa

Nauli kutoka Moshi hadi Mwanza

Basi la kawaida - 36,000/=
Basi la Semi-luxury - 49,000/=
 
Nenda kwenye website ya Latra, wameweka nauli za kila sehemu na kila mkoa

Nauli kutoka Moshi hadi Mwanza

Basi la kawaida - 36,000/=
Basi la Semi-luxury - 49,000/=
Hayo huwa ni ya uongo. Basi gani hilo nauli elfu thelathini na sita? Ambalo ni la kawaida ni kampuni gani
 
Nyehunge 40
Masalu 40
Asante Rabi 40
Nauli ikizidi sana ni 45
 
Hayo huwa ni ya uongo. Basi gani hilo nauli elfu thelathini na sita? Ambalo ni la kawaida ni kampuni gani

Nauli ya Latra huwa ipo juu tofauti na ya mmiliki wa bus
 
Back
Top Bottom