Nauli ya China - TZ ni 11M, Bei ya kwenda tu kwa ATCL

Nauli ya China - TZ ni 11M, Bei ya kwenda tu kwa ATCL

15e249ef-ff6c-4a29-9ed5-ccbc0bfb2491.jpg

Nadhani hapa watu hawaelewi Kwanini nauli imekua 11M kwa economy class,
ATCl ni moja kati ya ndege chache kupewa kibali cha kwenda mji wa Guangzhou baada ya China kufungua mipaka yake baada ya kama miaka mitatu hivi,
Ndege kubwa kama Emirates haijapata kibali cha kutua Guangzhou hivo kutokana na Demand kua kubwa kuliko supply yani watu wanaotaka kwenda ni wengi kuliko ndege zinazoenda nauli lazima iwe juu.
Mpaka pale ndege nyingine kama KQ, Ethiopian au Emirates zikipara permit ya kwenda ndio nauli inaweza kurudi kama mwanzo
 
Kuna gharama ya kukaa carantine huko pia ambayo kwa siku ni $ kadhaa

Ila wabongo sahv upepo wameuhamishia uturuki,kuanzia wafanya biashara wa bidhaa,wauza nyapu wote uturuki

Ova
Ni hela ndogo sana hiyo!

Kumbuka mishahara imepanda
 
Usifikirie idadi ndongo wa marubani wa TZ ambao hawazidi 10.
Fikiria maelfu ya machinga wadogo wanaoenda China

Unawazungumzia machinga Hawa Hawa wa nchi hii au Kuna wengine[emoji848]
 
Nauli ya kwenda Ganzhou, China imefikia Million 11 . Hiyo Ni kwenda tu. Kuhusu malazi , matumizi na nauli ya kurudia bado ni juu yako. Naona Rais amefungua nchi kwa wageni tu , Ila si kwa wa-TZ .

Machinga wenzangu mtaji upo?
Imeshuka ilikuwa 15M
 
Sio kila kitu ni cha maskini,nyie endeleeni kushangilia ununuzi wa ndege..

Ikipita juu mseme hiyoooo
 
Uliza sababu ,wachina bado wanaogopa Covid sasa kwenye ndege mna keep distance unakuta ndege ya kubeba watu 200 mko watu 30 so mnafidia gharama za hawa 170 ambao hawajapanda.

Ovyo kabisa hawa wachina
Mkuu ndege za nchi gani zinafanya hivyo ? Yaani ndege ipi inayo acha seat moja na nyengine ndio mtu anakaa?
 
Nauli ya kwenda Ganzhou, China imefikia Million 11 . Hiyo Ni kwenda tu. Kuhusu malazi , matumizi na nauli ya kurudia bado ni juu yako. Naona Rais amefungua nchi kwa wageni tu , Ila si kwa wa-TZ .

Machinga wenzangu mtaji upo?
Siyo kweli! Weka ushahidi!
 
Back
Top Bottom