Nauli ya China - TZ ni 11M, Bei ya kwenda tu kwa ATCL

Nauli ya China - TZ ni 11M, Bei ya kwenda tu kwa ATCL

Hapana haiwezekani ikawa hivyo.

Hata hivyo million 11 tu? Hela ndogo sana iyo. Mshahara wa rubani wangu wa private jet Gulfstream kwa saa ikiwa angani.
Sura imechoka haiwezi kuwa na uhusiano na private jet
 
Uliza sababu ,wachina bado wanaogopa Covid sasa kwenye ndege mna keep distance unakuta ndege ya kubeba watu 200 mko watu 30 so mnafidia gharama za hawa 170 ambao hawajapanda.

Ovyo kabisa hawa wachina
Ni kweli kuna restrictions nyingi sana hata ET or QR nauli ni 5500+$ na hakuna daily flights kama zamani,so inprinciple nauli za ATCL zipo chini.ila tu kitengo cha mawasiliano ya habari wangetoa ufafanuzi kwa mambo kama haya kwani hili ni shirika letu hivyo tunahaki ya kupata ufafanuzi wa wazi.
 
Back
Top Bottom