Uliza sababu ,wachina bado wanaogopa Covid sasa kwenye ndege mna keep distance unakuta ndege ya kubeba watu 200 mko watu 30 so mnafidia gharama za hawa 170 ambao hawajapanda.
Ni kweli kuna restrictions nyingi sana hata ET or QR nauli ni 5500+$ na hakuna daily flights kama zamani,so inprinciple nauli za ATCL zipo chini.ila tu kitengo cha mawasiliano ya habari wangetoa ufafanuzi kwa mambo kama haya kwani hili ni shirika letu hivyo tunahaki ya kupata ufafanuzi wa wazi.