Nauli ya Zanzibar kuwa Tsh 25,000 vigezo gani vimetumika?

Bas. Nimeamini bakressa anawaibia wanaonenda kule na Kuja huku elf 25000 kwa Kim 70 tu Sumatra wako tu
 
HV kuna boti ya moja kwa moja

Hakuna speed boat ya Moja Kwa Moja kutoka Dar kwenda Pemba. Kuna meli ( hizi sio kubwa sana ila zinachukua abiria, mizigo na magari) zinapiga Dar, Unguja Pemba na nyingine Unguja, Tanga Pemba.
 
Kumbuka huko hakuna kilometa,umbali ktk Nautical Mile na spidi ktk Knot, 1n.m~1.85km
 
mbona kwenda kigamboni ni tsh500 kwanini zenji iwe elfu25
 
Hizi nauli yake n ngapi kwa sasa
 
Kwan washindani wamezuiwa na sheria?? Si unanunua boti yako unachaji buku mbili kuwakomoa mkuu??
 
Ni safari ya muda gani kwa boti ya mwendokasi, je, wakitoza nusu ya hiyo bei hawapati faida?
Safari ni lisaa limoja au lisaa limoja na robo au 1/2 ila inategemea na boat.
 
zile boti zina engine za jet umeshawahi kujiuliza zinakula mafuta kiasi gani? boti moja ukiacha captain ina mabaharia karibu 17 ushajiuliza mishahara yao? bei ya boti ikiwa mpya na mataengezo yake?
 
Weww pale ni danger piga hesabu ya maboya kila mtu boya moja maana ukizama unaondoka na boya nyumban kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…