Nauli ya Zanzibar kuwa Tsh 25,000 vigezo gani vimetumika?

Nauli ya Zanzibar kuwa Tsh 25,000 vigezo gani vimetumika?

Bas. Nimeamini bakressa anawaibia wanaonenda kule na Kuja huku elf 25000 kwa Kim 70 tu Sumatra wako tu
 
HV kuna boti ya moja kwa moja

Hakuna speed boat ya Moja Kwa Moja kutoka Dar kwenda Pemba. Kuna meli ( hizi sio kubwa sana ila zinachukua abiria, mizigo na magari) zinapiga Dar, Unguja Pemba na nyingine Unguja, Tanga Pemba.
 
Kumbuka huko hakuna kilometa,umbali ktk Nautical Mile na spidi ktk Knot, 1n.m~1.85km
 
mbona kwenda kigamboni ni tsh500 kwanini zenji iwe elfu25
 
Hizi boti za kisasa za fast ferries ndio zimesababisha nauli zipande Kwa sababu ni nzuri,abiria mnakaa Kwa mpangilio,Zina spidi na Huduma zote Kwa ujumla,tofauti na boti za zamani ambazo safari hiyo ingekuchukua masaa zaidi ya 10 Kwa gharama nafuu zaidi.

Pia bahati Ina resistance sana hivo nguvu hutumika zaidi kukata maji tofauti na Barabara,km 10 za bahati tofauti na km 10 za Barabara. Basi mshindane kukimbia 100m Kwa kuogelea na mwingine akimbie ndio utajua mziki was maji
Hizi nauli yake n ngapi kwa sasa
 
Jana nimemkatia mtu v.i.p elf 35 Ni dkt alikwenda kwenye semina
Ni ghli Sana sijapenda na akuna alternative au washindani wengi ktk hyo viasha na muda wa boti Ni saa moja saa sita .na saa kumi

Kampuni Ni mbil tu Zanzibar feri na Kilimanjaro expresView attachment 2153352
Kwan washindani wamezuiwa na sheria?? Si unanunua boti yako unachaji buku mbili kuwakomoa mkuu??
 
Ni safari ya muda gani kwa boti ya mwendokasi, je, wakitoza nusu ya hiyo bei hawapati faida?
Safari ni lisaa limoja au lisaa limoja na robo au 1/2 ila inategemea na boat.
 
Huo usafiri wa ndege duniani kote unajulikana, na ni kutokana na gharama nyingi zilizoko huko, hoja hapa ni kwenye usafiri wa majini, ki ukweli hizi gharama hapo hazina uhalisia kabisa na umbali, huo, hata kama labda ni kutokana na boat kuwa za kisasa lakini bado,
zile boti zina engine za jet umeshawahi kujiuliza zinakula mafuta kiasi gani? boti moja ukiacha captain ina mabaharia karibu 17 ushajiuliza mishahara yao? bei ya boti ikiwa mpya na mataengezo yake?
 
Weww pale ni danger piga hesabu ya maboya kila mtu boya moja maana ukizama unaondoka na boya nyumban kwako
 
Back
Top Bottom