Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Ni takataka hiyo!Huyu mama baada ya miaka mi5 nchi itakuwa hoi, hajielewi kbs wahuni wanamburuza tu hovyo!!!.

Mkuu hivi unadhani kuna anaejali mustakabali wa nchi ktk hao wanaoweka tozo hizo? Huyo mama uliemtaja pia hakuna anachokijua zaidi ya kusaini anayopelekewa! hata kama ni ya hovyo!Hivi huyu Waziri wa Fedha ana malengo gani na usafiri wa ndege wa nchi hii?
Nimeliona lile tangazo la Agents fulani wa ndege nikajiuliza, sisi waTz tuko serious kweli, kuongeza $90 kwenye ticket mbali na fees nyingine, mfano 40 za insurance Zanzibar?
Ati lengo ni: to support the installation of Advanced Passenger Information (API) and Passenger Name Records (PNR) Systems.
Hilo ni jukumu la nchi lakini mzigo wametupiwa wageni na watalii.
Au tunataka kupunguza idadi ya watalii na wageni wengine hapa nchini?
Afadhali hata mungeongeza $20 basi, hee 90? MUnacheza na fedha za watu nyinyi.
Mama Samia, wanakufanyia sabotage kiujanja ujanja hao, tahadhari nao.
Jambo jipya na litaleta athari mfano sisi mabaharia,Airfares zinatumika sana kwenye nchi za wenzetu na ni zaidi ya hiyo iliyotangazwa na Tanzania, sio jambo jipya
Mtu anaelipiwa kila kitu hawezi kujua thamani ya ongezeko la $90 kwenye nauli.Kwa hiyo tunataka kuwabana watalii wasije Tanzania? Zamani watalii walikuwa hawaji Tanzania wakawa wanaishia Kenya; je tumeachoka sasa tunataka wasije tena?
Acha uwongo wewe; tuna tunaoishi hizo "nchi za wenzetu" tunaposafiri huwa hatutozwi $90 za ziada. Kuna kodi unazolipia ndogo ndogo kwa sababu kadhaa lakini zote kwa pamoja hazifiki hata $20 kwa tiket moja ya kwenda na kurudi.Airfares zinatumika sana kwenye nchi za wenzetu na ni zaidi ya hiyo iliyotangazwa na Tanzania, sio jambo jipya
Mkuu nimetoka huko muda sasa nipo Gulf
Airfares zinatumika sana kwenye nchi za wenzetu na ni zaidi ya hiyo iliyotangazwa na Tanzania, sio jambo jipya
UAEupo mji gani hapo gulf mkuu?
I dont know nani huwa anashauri haya mambo but wawe makini, hakukuwa na haja ya kupandisha.Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama ilivyopangwa.
Serikali inapanga kuanzisha ada ya urahisishaji wa abiria kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia Novemba 1, hatua ambayo inasema inalenga kuimarisha usalama wa mipaka na kuboresha mifumo ya uchakataji wa abiria.
Hata hivyo, mashirika ya ndege na wataalamu wa sekta hiyo wanatahadharisha kuwa hatua hiyo inaweza kupandisha bei za tiketi na kudhoofisha ushindani wa nchi kama kivutio cha utalii na safari.
Kwa mujibu wa utaratibu mpya, wasafiri wa kimataifa watalipa dola 45 kwa safari ya njia moja kuingia Tanzania na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi. Watoto wachanga walio chini ya umri wa miaka miwili hawatatozwa.
Ada hiyo itatozwa wakati wa kununua tiketi na itaonyeshwa kando kwenye tiketi. Marejesho ya fedha yatatolewa endapo tiketi itaghairiwa au haikutumika.
Serikali imeweka ada hiyo chini ya Kanuni ya Kodi VI, inayohusu moja kwa moja usafiri wa anga wa kimataifa.
Wakati lengo ni kufadhili mifumo mipya ya usalama na uhamiaji, mashirika ya ndege yanasema gharama hiyo kwa hakika itabebwa na abiria kupitia ongezeko la nauli.
Mashirika mawili yanayohudumu Dar es Salaam, Kilimanjaro na Zanzibar yamethibitisha kwa The Citizen kwamba ada hiyo itaingizwa kwenye mifumo yao ya tiketi.
“Mara moja inawaongezea mashinikizo mashirika ya ndege yanayojaribu kuuza safari za kuingia na kutoka Tanzania. Wakati huohuo, inafanya ionekane kama mashirika ya ndege ndiyo wahusika wa kupandisha bei za tiketi, ilhali ukweli ni kwamba haina uhusiano wowote na sisi. Sisi tumepewa jukumu la kukusanya kodi hiyo kwa niaba ya serikali,” alisema msemaji wa shirika moja la ndege.
Msemaji wa Precision Air, Hillary Mremi, alisema shirika hilo limejulishwa na linafahamu mabadiliko hayo, na kwamba kilichobaki sasa ni utekelezaji kuanzia Novemba 1.
View attachment 3449062