Nauli za ndege kupanda baada ya Tanzania kuanzisha ada ya abiria ya dola 90 kwa wasafiri wa kimataifa

Nauli za ndege kupanda baada ya Tanzania kuanzisha ada ya abiria ya dola 90 kwa wasafiri wa kimataifa

Siku mentality ya kuchukulia usafiri wa anga ni anasa ikitutoka na kuwaona wanaoenda kupanda ndege wote ni mtajiri, kwa hakika tutafika mbali sana
 
Airfares zinatumika sana kwenye nchi za wenzetu na ni zaidi ya hiyo iliyotangazwa na Tanzania, sio jambo jipya
We ni msenge sana , pumbav . Unajua maana ya airfare we mburukenge wewe ,?
Umevimbiwa huko kiporo cha maharage Kazuramimba na elimu yako ya kata unakuja kuandika usenge hapa ,mazafaka you
 
We ni msenge sana , pumbav . Unajua maana ya airfare we mburukenge wewe ,?
Umevimbiwa huko kiporo cha maharage Kazuramimba na elimu yako ya kata unakuja kuandika usenge hapa ,mazafaka you
Sawa international traveler, bahati mbaya sana matusi si sehemu ya majibu yangu, ni sehemu ya wenye elimu kama wewe
 
Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama ilivyopangwa.

Serikali inapanga kuanzisha ada ya urahisishaji wa abiria kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia Novemba 1, hatua ambayo inasema inalenga kuimarisha usalama wa mipaka na kuboresha mifumo ya uchakataji wa abiria.

Hata hivyo, mashirika ya ndege na wataalamu wa sekta hiyo wanatahadharisha kuwa hatua hiyo inaweza kupandisha bei za tiketi na kudhoofisha ushindani wa nchi kama kivutio cha utalii na safari.

Kwa mujibu wa utaratibu mpya, wasafiri wa kimataifa watalipa dola 45 kwa safari ya njia moja kuingia Tanzania na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi. Watoto wachanga walio chini ya umri wa miaka miwili hawatatozwa.


Ada hiyo itatozwa wakati wa kununua tiketi na itaonyeshwa kando kwenye tiketi. Marejesho ya fedha yatatolewa endapo tiketi itaghairiwa au haikutumika.

Serikali imeweka ada hiyo chini ya Kanuni ya Kodi VI, inayohusu moja kwa moja usafiri wa anga wa kimataifa.

Wakati lengo ni kufadhili mifumo mipya ya usalama na uhamiaji, mashirika ya ndege yanasema gharama hiyo kwa hakika itabebwa na abiria kupitia ongezeko la nauli.

Mashirika mawili yanayohudumu Dar es Salaam, Kilimanjaro na Zanzibar yamethibitisha kwa The Citizen kwamba ada hiyo itaingizwa kwenye mifumo yao ya tiketi.

“Mara moja inawaongezea mashinikizo mashirika ya ndege yanayojaribu kuuza safari za kuingia na kutoka Tanzania. Wakati huohuo, inafanya ionekane kama mashirika ya ndege ndiyo wahusika wa kupandisha bei za tiketi, ilhali ukweli ni kwamba haina uhusiano wowote na sisi. Sisi tumepewa jukumu la kukusanya kodi hiyo kwa niaba ya serikali,” alisema msemaji wa shirika moja la ndege.

Msemaji wa Precision Air, Hillary Mremi, alisema shirika hilo limejulishwa na linafahamu mabadiliko hayo, na kwamba kilichobaki sasa ni utekelezaji kuanzia Novemba 1.

View attachment 3449062
Yaani landing fee?
Hii ilikuwa 50$ na ilikuwa inalalamikiwa na watalii walipenda kushuka Nairobi na kuchukua shuttle kuja Tz via Namanga.
Hii itapunguza watalii kutumia JRO
 
Lakini ni kama Kenya airline ndio walengwa wakubwa wa hii fees, Ni kwamba wanaipunguza makali hili shirika au?
 
Mara ya mwisho wakati tunasafiri kikazi HR alitugawia Kila mmoja dola 50 kuwa tukitua Airport inaweza kuhitajika lakini tulipita free ni Hapa hapa east Africa.
Nadhani huu ni mpango wa nchi zote east Africa sema bado kuwa tu implemented.
 
Airfares zinatumika sana kwenye nchi za wenzetu na ni zaidi ya hiyo iliyotangazwa na Tanzania, sio jambo jipya
Tafadhali usilinganishe established airlines ambazo zina routes nyingi na abiria kwa maelfu. Sisi ndiyo tunabembeleza abiria huku kwetu.
 
Sisi tuliowekeza kwenye utalii ndo tutalia. Na hii maana yake tunawaambiwa international travelers msije TZ. Mpaka sasa Watalii wanatuambia Tanzania is the most expensive destination in Africa bado tunaongeza tozo🤔. Na huwa wanatuambia mnadhani Simba wa tanzania ni tofauti na Simba aliyepo Botswana au Kruger?

Jomo Kenyatta inaenda kuwa option ya travelers eventually tourism growth Kwa Kenya ambao ndo competitors wetu na ukijumlisha na ile policy yao ya visa free entry tumekwisha.

Naanza kuona growth ya shuttle transfers Arusha to Nairobi.
Natamani wangeyawaza yote hayo wakati wanaongeza hizo kodi zao
 
Nitaendelea kukazia,hii nchi tatizo sio mapato!
Ni matumizi (Uchumi wako unastahimili aina ya matumizi unayofanya?yana tija?) na kuwajibishana,period!

Hizo tozo bila kuchkua hatua za dhati kwenye mifumo ya udhibiti wa ndani zinaumiza watu mnoo,na kila siku wanakuja na mpya!

Ngombe anakamuliwa hadi atoe damu,afe!
 
Kudumu chama Cha mapinduzi,

Itikieni "kudumu chama..."😀
 
temp_image_20B9A744-6D8F-403A-A55C-53450CFEA45A.jpeg
temp_image_20B9A744-6D8F-403A-A55C-53450CFEA45A.jpeg
 
Back
Top Bottom