Nauli za ndege kupanda baada ya Tanzania kuanzisha ada ya abiria ya dola 90 kwa wasafiri wa kimataifa

Nauli za ndege kupanda baada ya Tanzania kuanzisha ada ya abiria ya dola 90 kwa wasafiri wa kimataifa

Maoni ya wadau: huko TikTok

giddy: Businesses don’t thrive in Tanzania sababu we over tax everything. Our aviation industry is struggling but let’s make people pay more so it continues struggling. A plane ticket from Dar to J’burg is more expensive than from Nairobi to J’burg. Think abt that.

henry: mtu anae toka arusha kwenda kupandia ndege dar kwenye uwanja wa mwalim j k nyerere anatumia garama kubwa na muda mrefu zaidi kuliko anae kwenda kupandia jomo kenyatta then + tozo ya 45 dolar kweli serikali ya tanzania inatuchukulia kama hatuna akili

@Happieā¤ļø: Mimi nikitoka Dubai nnaishia Entebe Uganda šŸ‡ŗšŸ‡¬ Kutoka Uganda hadi Bukoba sio mbališŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚nikifika Bukoba Mwanza nimefika šŸ˜‚


Christy: tuna majirani wengi wenye ndege huko tutasafiri na mabasi tutapanda ndege huko !! TUMEWACHOKA SASA mshatuona WAPUMBAVU WA KUTUPWA!! usd 90 ni sawa na 234,000 si upumbavu huu
 
Maoni ya wasau huko TikTok

Ahmed šŸ‡¦šŸ‡Ŗ: Hii ndo nchi yetu aiseee..baada ya kuhamasisha vijana watoke na kuiingizia nchi Mapato..taifa linaleta kodi mpya kwa wananchi wake..hii si sawa especially kwa wakati huu..tutakwenda kupandia Kenya..potelea mbali maana nchi imekuwa kama solo la kariakoo
 
IMG_6582.png
IMG_6582.png
 
Zanzibar wajitoe kwenye huu muungano kabla hawaathirika na utalii wao.....
 
Weka hii kwenye kumbukumbu....
Muda si mrefu, itakuwa kama unataka kuchimba kisima chako, lazima ulipie leseni na kutakuwa na tozo ya mwaka kumiliki kisima.
 
Back
Top Bottom