Nauliza Hii Tabia Ya Kujaza Ukurasa Wa Hili Jukwaa Kwa Habari Za Msanii Mmoja, Mtaiacha Lini?

Sio JF tu ni media zote kwa sasa....Kiukweli Diamond kwa sasa ni kama anawabaka wasanii wenzake, ingekuwa ni uwezo wao wangemfanyaje sijui.

anatawala mediaz mpaka anaboa eeee!!!! buhaahahahaaaa, si walisema mondi mwisho msata mjini ni mwana??? wakunikumbusha mashairi ya mwana kidole juu, simply hakunaaaaaa sasa hivi ni mwendo wa kuota tuu sijui tutampata wapi na badooooooooo
 
Sio JF tu ni media zote kwa sasa....Kiukweli Diamond kwa sasa ni kama anawabaka wasanii wenzake, ingekuwa ni uwezo wao wangemfanyaje sijui.

Blogu zoteeee ni Dai Yaan wataipenda wataipendaaaa yaan Dai ni kama chupi usipovaa lazima upulizwe upepooooooi
 
wewe ni team pinzani na kinachokuteketeza ni ugonjwa wa moyo. najua daimond anawaoverdozi ila hamna jinsi zaidi ya kuvumilia.

Hapana Mkuu
Mi Nawakubali Wote
Kwani Wote Wanaitangaza Nchi Yangu
 
Ukileta habari haiko hot utachangia peke yakoo lakini ikiwa ya Dai watu wanajaaa post kibao ndo ujuee wanamkubaliii kinyama unyamaniiiu
 
Sio JF tu ni media zote kwa sasa....Kiukweli Diamond kwa sasa ni kama anawabaka wasanii wenzake, ingekuwa ni uwezo wao wangemfanyaje sijui.

Dah! So Inabidi Tutulie Mpaka Huu Upepo Upite?
 
anatawala mediaz mpaka anaboa eeee!!!! buhaahahahaaaa, si walisema mondi mwisho msata mjini ni mwana??? wakunikumbusha mashairi ya mwana kidole juu, simply hakunaaaaaa sasa hivi ni mwendo wa kuota tuu sijui tutampata wapi na badooooooooo

Heheeeeeeeee wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Daimond wakimbezeeeeeee ukiwakamata ni ngwala tu chiniiiiiiiu
 
anatawala mediaz mpaka anaboa eeee!!!! buhaahahahaaaa, si walisema mondi mwisho msata mjini ni mwana??? wakunikumbusha mashairi ya mwana kidole juu, simply hakunaaaaaa sasa hivi ni mwendo wa kuota tuu sijui tutampata wapi na badooooooooo

uyu dogo wamuache tu, bongo5 wenyewe imebidi wamuanzishie page yake maalum kabisa.
 
Wallah DIAMOND ni ALMASI
yan leo kanipa raha sana kuliko siku zote

mh! Hii Hari Sasa Imezidi Mipaka
Sikutegemea Kama Nawe Yangekupata Haya
Ila Hongera Kwa Kupewa Raha!
 
Yaan bila habari za Diamond hili jukwaa litakufa wajamenii yaan karibia thread zote ni Diamond sasa wamuongelee naniii hayupo ni Dai tu kwa afya yako

teh teh teh
eti Kwa Afya Yako!!
Hapa Kweli nimekamatwa
 
Mkuu unaonaje ukianzisha thread ya besti naso au huseni machozi tuone muitikio wake.

Mkuu Matumbo Nitabpata Wapi ujasiri Wa Kuiandaa Thread Hiyo
Hahahahah
Nina Wasiwasi Na Wachangiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…