teh teh teh
eti Kwa Afya Yako!!
Hapa Kweli nimekamatwa
Blogu zoteeee ni Dai Yaan wataipenda wataipendaaaa yaan Dai ni kama chupi usipovaa lazima upulizwe upepooooooi
teh teh teh
eti Kwa Afya Yako!!
Hapa Kweli nimekamatwa
Mimi pia nilitaka kusema hili jambo...kila mtu anataka kuanzisha thread,au kama ni huyo huyo basi ataanzisha thread zaidi ya tano kwa jambo lilelile
Tunapoelekea akizindua nyimbo itakuwa ni habari mpasuko tbc na itv.
Heheeeeeee nani atachangiaa!!!!!!!
in english wanasema lita collapse
Tunapoelekea akizindua nyimbo itakuwa ni habari mpasuko tbc na itv.
Inakera nahisi wanalipwa kwa kazi hyo ushabiki maandazi
uache kuongelea vitu vinavyopenya kwenye misipa ya damu ukachangie vitu vyeye allergy hujipendi au???
Hapa dukuduku lako hata halitatoka hasa hasa tutakupa na madukuduku mengineNiko Hapa Kutoa Dukuduku Langu
Daimond ni bora kwa afya yako tafadhalii naona unadhoofika wasanii wengine watakupa msongo wa mawazo video hawatoiiii, chagua Daimond kwa afya yakooo
Yaan bila habari za Diamond hili jukwaa litakufa wajamenii yaan karibia thread zote ni Diamond sasa wamuongelee naniii hayupo ni Dai tu kwa afya yako
Labda dunia igeuka juu chini sijafikia ushabiki wa aina hiyo kabisa
Hapana Mkuu
Mi Nawakubali Wote
Kwani Wote Wanaitangaza Nchi Yangu
Akwendeee si ana stress mlango una tobo baba mwenye nyumba ake anampiga chabo na kamkataza asizibe mlango
Heheeeeeeeee wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Daimond wakimbezeeeeeee ukiwakamata ni ngwala tu chiniiiiiiiu
Blogu zoteeee ni Dai Yaan wataipenda wataipendaaaa yaan Dai ni kama chupi usipovaa lazima upulizwe upepooooooi
Hata mgonjwa nalijua hilo....Dai kwa Afya....
Safi sanaaaa umeona eee Dai ni kama maji usipomnywa utamuoga usipomuoga umtatawazia,usipomtawazia lazima umfulie huyu ndio Daimond mwingine fake