Nauliza Hii Tabia Ya Kujaza Ukurasa Wa Hili Jukwaa Kwa Habari Za Msanii Mmoja, Mtaiacha Lini?

Nauliza Hii Tabia Ya Kujaza Ukurasa Wa Hili Jukwaa Kwa Habari Za Msanii Mmoja, Mtaiacha Lini?

Mimi pia nilitaka kusema hili jambo...kila mtu anataka kuanzisha thread,au kama ni huyo huyo basi ataanzisha thread zaidi ya tano kwa jambo lilelile

Inakera nahisi wanalipwa kwa kazi hyo ushabiki maandazi
 
Daimond ni bora kwa afya yako tafadhalii naona unadhoofika wasanii wengine watakupa msongo wa mawazo video hawatoiiii, chagua Daimond kwa afya yakooo

Labda dunia igeuka juu chini sijafikia ushabiki wa aina hiyo kabisa
 
Labda dunia igeuka juu chini sijafikia ushabiki wa aina hiyo kabisa

Safi sanaaaa umeona eee Dai ni kama maji usipomnywa utamuoga usipomuoga umtatawazia,usipomtawazia lazima umfulie huyu ndio Daimond mwingine fake
 
Hapana Mkuu
Mi Nawakubali Wote
Kwani Wote Wanaitangaza Nchi Yangu

hapo upo sawa, nilidhani eti humpendi mondi, sasa swala linakuja mondi is workin extremely hard while kiba amekiachia kipaji kimfanyie kazi ndio maana anapoteza mvuto. akifanya kazi nzuri tupo kumsupport bila kinyongo kabisaaaaa
 
Blogu zoteeee ni Dai Yaan wataipenda wataipendaaaa yaan Dai ni kama chupi usipovaa lazima upulizwe upepooooooi

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaa dina utaniuwaaaaa na kwa mens kengele lazima zigonganeeeeee.
 
Hata mgonjwa nalijua hilo....Dai kwa Afya....

Umepona eeeee kwa afya yako sikiliza nyimbo mpya na video kali toka kwa msanii Mkali East Afrika Nzima amewakalishaaa Diamond Platnum ni kwa Afya yako tuuuy
 
Safi sanaaaa umeona eee Dai ni kama maji usipomnywa utamuoga usipomuoga umtatawazia,usipomtawazia lazima umfulie huyu ndio Daimond mwingine fake

Ha ha ha uwiiii over my dead body labda kipozeo changu na usingizi wangu mengine bwebwe tu hazina nafasi
 
Back
Top Bottom