Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Polis walishindwa kuangalia mazingira, walipaswa wasubiri mkutano umeshaisha ndipo wangemfuata alipofikia, kiukweli Bado safari ni ndefuNataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
Kisasi ni tiba nzuri na dawa ya kuwaadhibu wanaodhulumu haki za wengine .Nataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
Huwezi ukajua kosa kwa kusoma nyuzi na comments za nyumbu wa humu jf, sikiliza vyombo husika vinasemaje. Tena sikiliza ukiwa na akili huru na sio za kinyumbu.Kisasi ni tiba nzuri na dawa ya kuwaadhibu wanaodhulumu haki za wengine .
Sijajua kama Lisu alikuamatwa kwa kosa gani ?
Ila ni lazima sasa pawe na sehemu maalumu ya kulipa kisasi ili CCM wale Chadema wakilia .
Kilio kisipolingana Chadema watakimbiana.
Ni vizuri hata yule anayetoa amri ya kupiga na kuua na kukamata wapinzani naye ajue kua nguvu hiyo hiyo itaingia kwenye chama chake .
Ilitakiwa mpaka sasa nchi nzima pawe na maandamano na ndio uwe mwanzo wa mabadliko . Vinginevyo CCM iwe katika mazingira magumu.
Ni lazima nguvu ya umma ionekane kwa macho .
Ofisi za CCM bado zipo salama kila mahali .
Wanafikiri ni rahisi ndani ya nchi moja kundi moja lenye nguvu sawa na lingine kutumia polisi kama fimbo ya kufanya wanachotaka .
Ni bora wanachama wote wakaingia mitaani ili kama ni kukamatwa wakamatwe na kujaa magerezani na vituo vya polisi .
Hali ikae sawa mapema .
Eti Uchaguzi utakua huru na haki kwa hawa ambao hata mikutano tu sio huru.? Kama MKUTANO tu watu wanapigwa itakuwaje kwenye kura zinazomnyima Samia Ulaji na Marafiki zake na ndugu zake kutoka Oman walijazana ndani ya Tanganyika kupora kila kitu ?
Hapo Rushwa itatolewa mpaka kwenye vyombo vya dola ili kuwadhibiti wapinzani ?
Polisi Wana kazi ya kufanya, hawana muda wa kupoteza.Polis walishindwa kuangalia mazingira, walipaswa wasubiri mkutano umeshaisha ndipo wangemfuata alipofikia, kiukweli Bado safari ni ndefu
Nani asikilize failure hao ?Huwezi ukajua kosa kwa kusoma nyuzi na comments za nyumbu wa humu jf, sikiliza vyombo husika vinasemaje. Tena sikiliza ukiwa na akili huru na sio za kinyumbu.
Basi kaa huko uani chemshia mume maharage!Nani asikilize failure hao ?
Na umeelewa nini hapo kuona hakuna mwananchi aliyehangaika kuzuia asichukuliwe?!!!!!! Si alijitia ukakamavu, "tutalala hapa uwanjani". Vp, alilala uwanjani na watu wake?!!! Tena watu wamemchukia katikati ya mkutano, pumbavu zake. Anatishia usalama wa nchi?!!!Nataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
Gentleman,Nataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
Hawawezi na isingeweza kutokea,Nataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
Mbn walijaribu ila walishindwa. Hakuna mwananchi wa kufanya hivyo nchi hii ina taratibu za uendeshaji yule ni mhalifu km mhalifu mwingine yeyote. Ukizuia polisi kumkamata mhalifu nawe unaunganishwa naye.Nataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
We bwege unategemea vichaa wavuta bangi km Lissu na Heche wakufaulishe kimaisha? Lissu yeye binafsi ana mafanikio gani, bado hana alicho-achieve na atakufa maskini kwa upumbavu wake akijidannya anataka kuwakomboa watanzania. Nawe ni pambav km hao nyumbuBasi kaa huko uani chemshia mume maharage!
We umefaulu nini' katika maisha?!!! Pumbaaavu
Kati yake na wewe nyumbu ni naniHuwezi ukajua kosa kwa kusoma nyuzi na comments za nyumbu wa humu jf, sikiliza vyombo husika vinasemaje. Tena sikiliza ukiwa na akili huru na sio za kinyumbu.
Nafasi ya huo muda ilichukuliwa na mabomu ya machozi.Nataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
Kwa hiyo unakubali kuna utawala wa kisheria.Lissu anaachiwa soon very soon. Tunao marafiki zetu lissu ataachiwa soon.
Nataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu