Nashangaa walikubali kirahisi aiseNataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
Majibizano ys kijinga inaonekana unapenda.Kwa hiyo unakubali kuna utawala wa kisheria.
Kikwazo kikubwa cha ukombozi ndani ya nchi hii ni wao,wakati Hali ngumu inawahusu na waoHawa Mapolisi ni part of problem hebu wasikilize wakipora uchaguzi👇
View attachment 3298283
Huwezi ukajua kosa kwa kusoma nyuzi na comments za nyumbu wa humu jf, sikiliza vyombo husika vinasemaje. Tena sikiliza ukiwa na akili huru na sio za kinyumbu.
Wacha ujinga wee chawa wahed.Wakenya na polisi wao ndio wajinga
Barabara hazikujengwa kwa ajili ya maandamano ni kwa ajili ya magari ili shughuli za kiuchumi ziendelee
Wakenya na jeshi lao pumbavu zao inakuwaje waandamanaji wanateka Barabara muda mrefu wao wanawaangalia tu hadi biashara zinasimama .Ingekuwa Tanzania wale waandamanaji wengi wangekuwa marehemu na vilema kibao ndani ya nusu saa tu toka waanze maandamano kama wasingetii amri ya kutawanyika
Kenya siku ingine kukiwa na maandamano waje waombe msaada kwa polisi wa Tanzania waende wakawasaidie