sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,980
- 4,992
Lissu ni advocate lakini si political scientist.Gentleman,
tangu huyo muungwana aanze ziara zake mikoani,
wanachadema walimsikiliza kwa makini sana.Na walipopima alichokua anahubiri, wengi waligundua anawachochea lakini pia anaejaribu kulazimisha kuongea mbovu ili hatimae akamatwe,
in fact,
hakua anazungumzia mambo yanayogusa maisha ya kila siku ya wananchi. Ilidhihirika wazi anatetea mambo yake binafsi kwa mgongngo wa wanachadema na wananchi kwa ujumla.
Na kwahivyo,
hayupo mwanachadema yeyote ambae angethubutu kumprotect tapeli wa siasa kama huyo,
hayupo wa kupoteza muda au kuumia kwa ajili ya mtu ambae familia yake iko ughaibuni 🐒
Kuna watu wanapenda shari regardless of what.