Nauliza jambo gani lingetokea pale wananchi wangesema hawataki Tundu Lissu akamatwe?

Lissu ni advocate lakini si political scientist.
Kuna watu wanapenda shari regardless of what.
 
😡
 
Unajitoa ufahamu sio? Kama hakuna mwananchi aliyehangaika asichukuliweckwa nini Polisi walipiga mabomu na risasi?
 
Kama hakukuwa na upinzani wowote yangepigwa mabomu ya machozi? Huko kichwani akili mmepeleka wapi?
 
Polisisiemu buana ,pamoja na kumtandika risasi hamjatosheka? Ebu muacheni afanye siasa ,kuna kosa gani alilofanya ambao anashatihili kukamatwa kwa style hiyo ambayo inahatarisha uhai wa wananchi? Si mngemwita tu kituoni?
 
Nataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala.
It is just a rhetorical question.
Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
Kwahiyo jana walitaka AKAMATWE ndio ndio maana wakakaa kimya sio? No Reform, No Election Iko wapi Sasa kama hao walio tayari kuzuia Uchaguzi Mkuu (ahahahahaha eti kuzuia) ndio hao hao wako kimya Kiongozi wao amekamatwa!?
 
Watanzania wajinga sana na waoga.Tungekuwa ni sisi wakenya tungefanya maandamano yasiyo na kikomo kupinga kukamatwa Kwa mpenda haki Tundu lisu.Watanzania oeni wakenya au warundi ili baadae mpate kazi Cha watu jasiri na wanaojitambua ili kupinga maovu ya watawala wa ccm
 
Angeliitwa kistaarabu angelifikiri wanamuogopa. Dawa ni kumkamata kitemi!
Si ulimsikia akiwafokea na kuwakejeki polisi akidhani umma uliokuwep9 pale wana uwezo wa kupambana na polisi sababu aliona polisi wachache mkutano wengi kuliko.polisi

Hakujua nguvu ya polisi kuwa polisi mmoja pale alikuwa na uwezo wa kupambana na watu elfu moja bila shida
 
Ndio ujinga wake huo. Sasa hivi yumo ndani peke yake! Waliyokuwa wanamshangalia walirudi makwao kimya kimya! Ahahahahaha!!
 
Alaa, kumbe ndege zetu zimegongana zenyewe hewani?!!!! Pamoja
 
Wakenya na polisi wao ndio wajinga
Barabara hazikujengwa kwa ajili ya maandamano ni kwa ajili ya magari ili shughuli za kiuchumi ziendelee

Wakenya na jeshi lao pumbavu zao inakuwaje waandamanaji wanateka Barabara muda mrefu wao wanawaangalia tu hadi biashara zinasimama .Ingekuwa Tanzania wale waandamanaji wengi wangekuwa marehemu na vilema kibao ndani ya nusu saa tu toka waanze maandamano kama wasingetii amri ya kutawanyika

Kenya siku ingine kukiwa na maandamano waje waombe msaada kwa polisi wa Tanzania waende wakawasaidie
 
Angeliitwa kistaarabu angelifikiri wanamuogopa. Dawa ni kumkamata kitemi!
Unafaraja gani moyoni mwako unapo shuhudia hayo kwa macho yako? Na mbaya hujui kuwa unacho kitetea ndani ya CCM si nchi bali ni kakikundi kadogo ambako kamejilimbikizia mali na kamejifichia kwenye mgongo wa chama na kana watumia nyinyi wafuasi msio na utashi kuwatetea ili waendelee kulinda walivyo chuma? Maana wanajua mabadiliko yatawarudisha umaskinini? Najua hamjui mnacho kipigania ndani ya CCM ila mjue tu mnacho kipigania ndani ya CCM si nchi wala mali asili za nchi waala watanganyika haawa ,bali mnapambana na raia kulinda maslahi ya kikundi kidogo kilicho jiwekea mifumo ya wizi wa mali za umma ndani ya nchi kwa mgongo wa chama, na wengi wenu halimjui hilo ni wafuasi tu wa kupiga vigelegele.
Muwe wazalendo kwa nchi yenu ili iwe na maslahi kwa vijukuu na watoto wenu ili tusije laumiwa kama leo tunavyo laumu mababu zetu kukubali shanga wakatoa almasi.
Tuwe wazalendo kwa nchi na sio mtu wala chama maana chama kinaweza kutekwa na wezi na mafisadi kama ilivyo sasa.
 
Labda nikwambie, mimi ngelihusika kumkamata na virungu vya kutosha tu ningelimshushia! Mtu kafucha familia yake Ulaya halafu ahatarishe maisha ya familia hapa nimwache? Ana bahati!!!
 
Polisi div 4 si ndio maana wajinga kama ninyi unadhani kenya wajinga kama ninyi hujiulizi kwanini kenya inakua kiuchumi halafu tanganyika inazidi kushuka kiuchumi mnakazana kuleta data feki za uchumi kila siku.
muwe wazalendo kwa nchi yenu msiwe wazalendo wa watu.
 
Labda nikwambie, mimi ngelihusika kumkamata na virungu vya kutosha tu ningelimshushia! Mtu kafucha familia yake Ulaya halafu ahatarishe maisha ya familia hapa nimwache? Ana bahati!!!
Huna akili, unadhani mwenye akili ana waza kama wewe? Haya ni matokeo ya kuishia darasa la pili halafu unakuwa chawa wa chama huna unalo lijua zaidi ya ushabiki tuu.
 
Huna akili, unadhani mwenye akili ana waza kama wewe? Haya ni matokeo ya kuishia darasa la pili halafu unakuwa chawa wa chama huna unalo lijua zaidi ya ushabiki tuu.
JF ni kuvumilia hoja za wenzako! Kama huwezi; pole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…