Nauliza jambo gani lingetokea pale wananchi wangesema hawataki Tundu Lissu akamatwe?

Wananchi wa nchi ipi? Hapo wengi walikimbia kama kukimbia kifo.

Hivi huko si ndiyo kwa yule mwandishi wa habari Mwangosi?
 
Huwezi ukajua kosa kwa kusoma nyuzi na comments za nyumbu wa humu jf, sikiliza vyombo husika vinasemaje. Tena sikiliza ukiwa na akili huru na sio za kinyumbu.


Hapo ndipo mnapokosea , sheria iko wazi ukimkamata mtu unatakiwa umweleze kosa lake.
Usipomweleza unakua imemkamata isivyo halali .

Usifurahie dhulma akutanyiwa binadamu mwenzako?
Jamii ikiwa imejaa watu wenye chuki na roho mbaya kama wewe jamii hiyo haiwezi kukaa salama kwa sababu binadamu anakukomo cha uvumilivu
 
Angekamatwa Dar wangeanza kusema Dar ina watu walaini 😅

Sasa maafande wamemkamata huko huko mkoani, wamepiga mabomu na hakuna mtu kasumbuka hata kurusha mchanga.

Tanzania tunasumbuana na stori za upinzani feki.
 
Wacha ujinga wee chawa wahed.
Huo ujinga unaosema unaweza kufanyika kwenye "shithole kantri" pekee.

Kamuulize jenerali wa jeshi Hosni Mubarak alichofanywa na raia wa kawaida kabisa
 
Ndio maana maandamano hayajawahi kufanikiwa.
Tukisikia mabomu tunatoka nduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…