Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Sikuwahi kuona watu wakivaa magunia!
Na Viwanda vyote vilikuwa vikifanya kazi japo ufanisi ulianza kupungua baada ya ile Vita ya Kagera !
Na Mabeberu wa IMF ndipo walipoona mwanya wa kumbana Mwalimu kwa sharti la kwamba kama anataka Mkopo ni lazima kwanza akubali thamani ya pesa ishuke kama walivyotaka wakubwa !
Mwalimu alikataa na akasema hawezi kukubali kugeuka jiwe!
Hizi ni hadithi za gahawa. Kuna wale ambao wanatunga makusudi hizi hadithi ili kuonyesha failures za Mwalimu. Lakini nyingi ni uongo na zinaenda kwa kusimuliana bila facts wala evidence