Sikuwahi kuona watu wakivaa magunia!
Na Viwanda vyote vilikuwa vikifanya kazi japo ufanisi ulianza kupungua baada ya ile Vita ya Kagera !
Na Mabeberu wa IMF ndipo walipoona mwanya wa kumbana Mwalimu kwa sharti la kwamba kama anataka Mkopo ni lazima kwanza akubali thamani ya pesa ishuke kama walivyotaka wakubwa !
Mwalimu alikataa na akasema hawezi kukubali kugeuka jiwe!
Uislamu hawachichani? Unajidanganya au unamdanganya nani? Kuwa dini moja ndio kungewapa maendeleo au mambo yao kuwa mema?Tuongee ukweli kutoka moyoni,kinachowaunganisha watu kutoka moyoni ni Dini,Uisilamu Kwa Zanzibar ulikuwa zaidi ya asilimia tisini na tisa Wazanzinar walikuwa au wako Dini moja,walikuwa wanaswali pamoja,ni ngumu watu hawa kuchinjina,kuna mtu tena wa dini nyingine aliyeenda kuwatia uchonganishi
Wapambe nuksi. Kwani mpaka leo wanaoongea wanaendeleaje? Wapambe wamejipa kazi na hawajawahi kuiacha. Wanataka waone watu wanatembea ila sauti zao zisisike kamwe. Na ni mpaka leo 2024Ungethubutu kuongea haya awamu yake uone kama ungeishu Hadi leo
Wewe uliyekuwa unakimbiza mwenge na kusifu zidumu fikra sahihi za mwenyekiti ulikimbilia wapi? Au wakati wa vijiji vya ujamaa ulihama kijiji kimoja kwenda kingine?Kwani lilibka yingo kalisema?
Mimi nilikuepo, tena huyo hajaelezea waliokua wanapotea. Au walipotezwa?
. Wengine tunashukuru tulikua nabuwezo wa kuikimbia nchi.
Afadhari na Sasa hivi Kuna hata kelele za mitandao,zama zile unapotezwa mazima mazimaWapambe nuksi. Kwani mpaka leo wanaoongea wanaendeleaje? Wapambe wamejipa kazi na hawajawahi kuiacha. Wanataka waone watu wanatembea ila sauti zao zisisike kamwe. Na ni mpaka leo 2024
Mkuu kwa nini ukampokenye mtu mali zake, alizozipata kihalali either kwa kurithi au ku purchase.Mwinyi alijuwa hadhi kubwa ya uongozi aliokuwa nao Mwalimu Nyerere. Na siyo yeye pekee aliye tambua hivyo.
Hawa wanao kuja hapa na kuibua vi-mada vya hovyo hovyo ni wajukuu wa wale walionyang'anywa maslahi yao kwa manufaa ya waTanzania; au kwa sababu zao za kiimani kama wazee wa Kariakoo.
Kwasababu hujapotezwa unasema kuna afadhali? Kupotea ni kupotea tu. Na tuambie list ya watu waliopotea wakati ule ili tulinganishe na sasa.Afadhari na Sasa hivi Kuna hata kelele za mitandao,zama zile unapotezwa mazima mazima
Kwa hiyo ukirudishwa Kijiji kwa mk, baada ya hapo ni nn kinaendelea?Kwasababu hujapotezwa unasema kuna afadhali? Kupotea ni kupotea tu. Na tuambie list ya watu waliopotea wakati ule ili tulinganishe na sasa.
Ninachojua ilikuwa ukizingua, unarudi kijijini kureport kwa Mwenyekiti wa Kijiji
Mlemavu wa akili wewe. Huna uwezo wa kutafuta taarifa hadi utafutiwe? Watu wa aina yako ndio wanao lididimiza taifa hili kwa sasa.Sasa si ndo ifafanue hayo matatizo sasa, hivi we jamaa una akili kweli.
Akheri ya mimi niliye kuwa na walimu. Inaonyesha wazi wewe hata hukupata chochote upande huo.Duh.! walimu wako walipata shida sana, haya mkuu umeshinda.
Hiyo mipasho nayo unafikiri ni uongozi? Ndiyo hii tunayo ishuhudia sasa wakati huu, na mambo ni yale yale hakuna linalo fanyika la maana.Mungu wako alipozidi kumfuatafuata,akatoa simulizi ya mwendawazimu kupitia nguo zako,akatukumbusha kuwa alitutoa foleni za unga,mtu uliwatia tabu za maisha uliowatawala lakini huchoki kubwekea uongozi ulioondoa tabu ulizowatwika watu,kana kwamba ulifanya la maana
Hawakuwa wakipotezwa mazima bali kulikuwepo na msemo mmoja kwamba amewekwa kizuizini !Afadhari na Sasa hivi Kuna hata kelele za mitandao,zama zile unapotezwa mazima mazima
Kiongozi hapaswi kuwatia tabu anaowaongoza, akifanya hivyo ni kiongozi wa hovyoHiyo mipasho nayo unafikiri ni uongozi? Ndiyo hii tunayo ishuhudia sasa wakati huu, na mambo ni yale yale hakuna linalo fanyika la maana.
Katika nyanja zote, huwezi kumweka Mwinyi katika ngazi ya uongozi aliyo kuwa nayo Mwalimu Nyerere. Kama furaha yako ni hiyo mipasho, hilo ni shauri zako.
Hilo nalo neno , Tungekua Mablack American sasa hvi 😆Sasa kwann alilazimisha tupate uhuru wakt bado tulikuwa hatuna uwezo kujiongoza
Serikali ilikua haina pesa ndo mana akaanzisha kodi ya KichwaWatz hawakua masikini wa 0, mentality ya kuitegemea serikali ilitokana na ujamaa
Marehemu Mzee Kikenya ndio injinia wa kwanza Mtanzania mwenye degree ya chuo kikuu, alianza kazi kabla ya uhuru na alijenga barabara za lami kadhaa za kwanza kabla ya 1961.Unamsikiliza mtu kumbukumbu zake zimeliwa na mchwa,una uhakika gani hasumbuliwi na dimentia!?..rais' wa nchi kikwete alirudia mara kadhaa kuwa lami aliyoacha mkoloni ni dar-chalinze
Walikuwepo wasomi,akina mwakaiya waligombana huko uingereza wakigombea ukibaraka,huyo mzee wako anaweza kuwa mhandisi ila hakuwa na kampuni la kujenga barabara,alikua chini ya mkoloni,so mkoloni alijenga lami dar-chalinze kama nilivyokwambia awaliMarehemu Mzee Kikenya ndio injinia wa kwanza Mtanzania mwenye degree ya chuo kikuu, alianza kazi kabla ya uhuru na alijenga barabara za lami kadhaa za kwanza kabla ya 1961.
Alifariki 2019. Alikuwa jirani yangu hapa mbezi beach. Namuamini kwa sababu baada ya kutuhadithia kuhusu hizo barabara akaja kuhojiwa na gazeti fulani akairudia historia hiyo hiyo kama alivyotusimulia.
Nyerere hakupata bahati ya kuzungukwa na wasomi kama hawa wanaowazunguka marais kuanzia awamu ya tatu mpaka hii ya sita.
Alikuwa mhandisi wa serikali, ni mkurugenzi wa kwanza mzalendo wa shirika la nyumba la Taifa. James Kikenya.Walikuwepo wasomi,akina mwakaiya waligombana huko uingereza wakigombea ukibaraka,huyo mzee wako anaweza kuwa mhandisi ila hakuwa na kampuni la kujenga barabara,alikua chini ya mkoloni,so mkoloni alijenga lami dar-chalinze kama nilivyokwambia awali
Sasa kabla ya uhuru alikua chini ya nani,mbona unajikanganya!!?Alikuwa mhandisi wa serikali, ni mkurugenzi wa kwanza mzalendo wa shirika la nyumba la Taifa. James Kikenya.
Hakuwa chini ya mkoloni ni mhandisi wa kwanza kujenga barabara za lami Tanzania na pengine ni mhandisi wa kwanza mzalendo mwenye shahada ya chuo kikuu, usiongee vitu usivyo na uhakika navyo.