Katika kutekeleza wajibu huo..Na waliouwa wananchi wakati wa uchaguzi walisukumwa na nini au nani kufanya hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika kutekeleza wajibu huo..Na waliouwa wananchi wakati wa uchaguzi walisukumwa na nini au nani kufanya hivyo?
Ndio ile kutekwa kwenye ofsi za NECK??Wakurugenzi walishapewa onyo kuhusu kumtangaza mpinzani ni mshindi hivyo waliokoa vyeo vyao.
Dhamiri ikishakufa hizi zimakuwa kama dua za kuku tu kwa mwenyewe.Hivi wanasoma hizi post kweli? And if they do dhamira zao zinawashuhudia nini?
Nyerere aliwahi kusema Kaburu ni kaburu tu hata kama ni mweusi🤣..hebu fikiria mkoloni muingereza hakuengua mgombea hata mmoja wa Tanu ktk uchaguzi wa mwaka 1958.
..mwaka 2019 / 2020 Ccm / nec imeengua mamia kama sio maelfu ya wagombea wa upinzani.
..hakuna mwana tanu aliyeuwawa ktk uchaguzi uliosimamiwa na wakoloni wa kiingereza, lakini Ccm / polisi wameua wananchi ktk Tanzania huru.
Kama kuna taasisi inayosimamiwa kisheria nchi hii ni Tume ya uchaguzi yani kila hatua ipo inafanyaika kisheria na kwa uwazi hayo ya kutekwa sijawahi ona uthibitisho wenye mashiko zaidi ya siasa nyepesi za waliokosa. ninachofahamu mimi ni kwamba kila baada ya uchaguzi huwa kuna kesi za uchaguzi na hata uchaguzi uliopita nilisikia Nec wakisema juu ya kesi za uchaguzi na kama tukirejea kesi kama hizi huwa tunasikia madiwani na hata wabunge wakati mwingine mahakama zinatengua ubunge au udiwani wao.Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu.
UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje?
Kwanini wanaotekwa au kupigwa wakati wanarudisha fomu ni UPINZANI tuu?
Haya yalitokea na rekodi zipo mfano mvomero n.k
Kama kuna taasisi inayosimamiwa kisheria nchi hii ni Tume ya uchaguzi yani kila hatua ipo inafanyaika kisheria na kwa uwazi hayo ya kutekwa sijawahi ona uthibitisho wenye mashiko zaidi ya siasa nyepesi za waliokosa. ninachofahamu mimi ni kwamba kila baada ya uchaguzi huwa kuna kesi za uchaguzi na hata uchaguzi uliopita nilisikia Nec wakisema juu ya kesi za uchaguzi na kama tukirejea kesi kama hizi huwa tunasikia madiwani na hata wabunge wakati mwingine mahakama zinatengua ubunge au udiwani wao.
Nadhani hayo mambo yapo kisheria zaidi na kama kuna mtu alitekwa ilipaswa aripotiwe kwenye mamlaka husika ambapo ni polisi ili waweze kutimiza majukumu yao kulingana na mashtaka hayo,kwahiyo hapo sijaona ni kwa namna gani NEC inahusika moja kwa moja na kwa jinsi navyofahamu kuna kesi za uchaguzi zilikuwa zinashughulikiwa baada ya uchaguzi wa 2020 kumalizika na mojawapo ya kesi ni ile ya udiwani ambapo ilipelekea kuenguliwa kwa diwani wa kata ya Kagerankanda iliyopo wilaya ya Kasuru(Kigoma).So kwa maoni yangu hapo sijaona kosa kwa NEC, naomba kuwasirisha kwa mtoa mada[emoji120]Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu.
UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje?
Kwanini wanaotekwa au kupigwa wakati wanarudisha fomu ni UPINZANI tuu?
Haya yalitokea na rekodi zipo mfano mvomero n.k
Lumumba fc una shida sana. Nyie ndio mnaodai ccm ilishinda🤣🤣🤣Kama kuna taasisi inayosimamiwa kisheria nchi hii ni Tume ya uchaguzi yani kila hatua ipo inafanyaika kisheria na kwa uwazi hayo ya kutekwa sijawahi ona uthibitisho wenye mashiko zaidi ya siasa nyepesi za waliokosa. ninachofahamu mimi ni kwamba kila baada ya uchaguzi huwa kuna kesi za uchaguzi na hata uchaguzi uliopita nilisikia Nec wakisema juu ya kesi za uchaguzi na kama tukirejea kesi kama hizi huwa tunasikia madiwani na hata wabunge wakati mwingine mahakama zinatengua ubunge au udiwani wao.
Nadhani hayo mambo yapo kisheria zaidi na kama kuna mtu alitekwa ilipaswa aripotiwe kwenye mamlaka husika ambapo ni polisi ili waweze kutimiza majukumu yao kulingana na mashtaka hayo,kwahiyo hapo sijaona ni kwa namna gani NEC inahusika moja kwa moja na kwa jinsi navyofahamu kuna kesi za uchaguzi zilikuwa zinashughulikiwa baada ya uchaguzi wa 2020 kumalizika na mojawapo ya kesi ni ile ya udiwani ambapo ilipelekea kuenguliwa kwa diwani wa kata ya Kagerankanda iliyopo wilaya ya Kasuru(Kigoma).So kwa maoni yangu hapo sijaona kosa kwa NEC, naomba kuwasirisha kwa mtoa mada[emoji120]
Hiyo jamaa hamna kitu..hoja yako ingekuwa na mashiko kama tungekuwa na jeshi la polisi linalotenda haki sawa kwa vyama vyote.
..tumefika mahali jeshi la polisi limekuwa sehemu ya Ccm hivyo sio mahali sahihi kwa mpinzani kupeleka malalamiko yake.
Kwahiyo wanarubuniwa na kutekws mbele ya polisi?Nadhani hapo NEC imetajwa tu kufurahisha genge maana haipiti siku watu wakaacha kuitaja.
Mgombea kama anatekwa akiwa ndani ya Ofisi za NEC wanaweza kujibu lakini kama wagombea au vyama vinafanyiana uhuni huko mtaani na hawatoi taarifa Polisi hilo ni suala lingine.
Ila Wagombea nao wanaendekeza njaa, wapo ambao wanarubuniwa na kupewa hela mwisho wa siku hawarudishi fomu na kudai wametekwa. Maana muda wa kurejesha fomu ukipita tu utawaona ndio wanaonekana.
Mimi Niko zangu kitaa napambana kivyangu usinihusishe na hayo mambo lakini tunasema ukweli wa mambo yalivyo katika uhalisia wake sio kila Uzi mkiuleta hapa tushadadie bila kufikiriaWewe ni aidha mnufaika wa ccm au uko nec au nje ya nchi maana mara zote kila uchaguzi WAGOMBEA wa UPINZANI huwa wanatekwa on the way kurudisha fomu wakati mwingine wanashambuliwa au ofisi za nec wilayani halmshauri zinaondoa watumishi pale wanapojua mgombea wa UPINZANI anarudisha fomu lakini je umesahau kifo cha akwilina kilitokeaje?
Kwahiyo wanarubuniwa na kutekws mbele ya polisi?
Nyie ndio Mama Samia anawaita mna akili ndogo
Huna ukweli wowote hapo lumumba fc team roho mbaya tu. Watu wanabambikiwa makesi na DPP kasema waachiwe wewe ni nani unapinga? Mkurugenzi Takukuru alisema kuna kesi 247 za wapinzani za kugushi akazifuta kwa maelekezo ya Mama Samia.Mimi Niko zangu kitaa napambana kivyangu usinihusishe na hayo mambo lakini tunasema ukweli wa mambo yalivyo katika uhalisia wake sio kila Uzi mkiuleta hapa tushadadie bila kufikiria
Mimi Niko zangu kitaa napambana kivyangu usinihusishe na hayo mambo lakini tunasema ukweli wa mambo yalivyo katika uhalisia wake sio kila Uzi mkiuleta hapa tushadadie bila kufikiria
Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu.