Naulizia tu..Pugu Boys...aka pond boys yalee maji ya fungus bado yapo??maana wengine yalututesa sana na kupunguza HATA uzao...

Naulizia tu..Pugu Boys...aka pond boys yalee maji ya fungus bado yapo??maana wengine yalututesa sana na kupunguza HATA uzao...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wale mliopotia pugu sec myanielewa

Wengine waliitea pond boys

Wengine fungus boys

Yaani baadaeee BAADA ya mateso ya kujikuna SEHEMU za Siri kunywaa madawaaa kibaokoo Badoo wengine

Hawakufanikiwa kupata uzaooo

Na HATA walee waliopanga watoto wengi wakaishia MMOJA ama wwawililii maana Ile sehemuu ,iliathirika sanaaa

Kama KUNA wanafunzi humu Yale maji BADOOO mnatumia

Mtujuzee
 
Back
Top Bottom