Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa Ali propose mwenyewe Na alimwambia mpaka baba yake kama anataka kuoaKama hadi sasa haujajua tatizo nini lililomfanya jamaa kuwa kimya basi sababu ni hii
Ulilazimisha ndoa ndio maana anakukataa
Sio kumcheat, wanawake daily mnatongozwa, sasa ktk kipindi cha uchumba kuelekea ndoa mwanaume wako akinusa jambo hili huleta shida sanaSijawahi kumcheat
Naomba nisaidie mkuu ananipima nnAtakutafuta na usimchukie we endelea ulipo ishia ni vipimo tu
Nlitaka kuprove pia kama Yuko tayari kunipotezaUmemtumia message ya kuachana wewe mwenyewe...!
Halafu unakuja kulialia hapa kwamba Bado unampenda....!?
Kweli Dunia hii imebeba Watu aina tofauti.
Mwingine anapolitoa lilioujaza moyo wake ndio mwanzo wa tiba.Tukusaidie nini Sasa?
Hapo ukweli ni kwamba huyo mwanaume ashapata mwanamke mwingine na anashindwa kumwambia ukweli huwezi kulazimisha upendo kama uliokuwepo ndio umeisha Cha muhimu amsahauTulia atakutafuta.
Sawa lkn siwakubaliSio kumcheat, wanawake daily mnatongozwa, sasa ktk kipindi cha uchumba kuelekea ndoa mwanaume wako akinusa jambo hili huleta shida sana
Mimi pia niliwaza IviHapo ukweli ni kwamba huyo mwanaume ashapata mwanamke mwingine na anashindwa kumwambia ukweli huwezi kulazimisha upendo kama uliokuwepo ndio umeisha Cha muhimu amsahau
Pia ukizingatia Ni MTU wa kutoka usiku kwenda kukesha kwenye bar kunywa pombe kucheza mizikiHapo ukweli ni kwamba huyo mwanaume ashapata mwanamke mwingine na anashindwa kumwambia ukweli huwezi kulazimisha upendo kama uliokuwepo ndio umeisha Cha muhimu amsahau
Hatua utakazo chukua mana sio mda mnapiga hatua nyingineNaomba nisaidie mkuu ananipima nn
Angeprove tu tumeachanaBaada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu.
Unategemea ajibu nn, .....
Una uhakika Gani kwenye hili maana nimeongea Na mpaka ndugu zakeHatua utakazo chukua mana sio mda mnapiga hatua nyingine
Wewe si ndo imetuma sms ya kuachana, sasa unaumia nini. Mtu asipokuwa kwenye simu week tatu tu unaona amekuacha?. Hata hujasikia kutoka kwake chochote. Tulia umefanya mwenyewe hayo maamuzi.Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Ubalikiwe sana mtumish wa BWANA.Mimi mchaga yeye mnyakyusa dhehebu wote tunasali kkkkt
Kwani unafikiri hajui Nini anafanya na hawawezi kufanya chochote mana wewe sio mke.Una uhakika Gani kwenye hili maana nimeongea Na mpaka ndugu zake