Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Mkuu pamoja Na yote sijawahi muonesha dharau
Labda aliona unalazimisha sana ndoa na yeye hayupo tayarii so akaona bora akupotezee kimya kimyaa kuliko kuendelea kuumiza kichwa mtu ambae huelewii na huna subra.
Ndoa alitaka mwenyewe rick
 
Amina ahsante Ila tulikua tunaombea mahusiano Na sadaka tunatoa Na tayar Alianza kuchukua hatua za ndoa Kwa kuwaataarifu wazaz wake ili watume wazee nyumbani Kwa utambulisho
 
Yaliyonikuta mimi nitakuja kusimulia maana kila mtu wa karibu niliyemshirikisha ali kiri jambo langu ni kubwa na gumu!!
 
Mungu akawe faraja yako katika kipindi hiki kigumu unachopitia lakini fahamu kuwa yote hayo yatapita ni swala la muda wanasemaga "time is the best healer" pia tafta wimbo unaitwa faraja by abakurikiye yesu naamini utafarijika
Amina ahsante
 
Mmmhh ila bongo mtu hujafunga naye aina yoyote ya ndoa unamuita mume wako!!!
Sasa kaenda kwa mke halisi kaa kwa kutulia utasikia tarehe ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…