Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Namshukuru Mungu nimeweza lkn ss mm na stabilise yeye ndo anatuma messge zaid ya 100 ku apologise. Aisee sijakubaliana na hilo na nimekataa katakata!!....nitakuja na mkasa mzima wait madam...lipo funzo kubwa!!
Sawa am waiting
 
Ahsante
 
Hakuna kuachwa na kuachana, Ila kuna kupewa nafasi ya kuangalia upande wenye Amani.
 
Mkuu hii message YA kuumia Na ukimya wake nlishamtumia Na nlijieleza Sana jinsi gan hii Hali inavoniumiza maumivu nayopitia nilimweleza hisia zangu za ndanu kabisa Na jinsi navoteseka Na kuumwa ulcers sababu ya mawazo...........lakinini hakunijibu kitu
 
Tengeneza penzi jipya, ila ujue kila kitu kina mwanzo na mwisho,
 
Hilo kosa la pili imefanya kujishusha tena chini zaidi.
Ungekaa kimya tu.
Kosa lako la kwanza huenda ulilazimisha sana harakati za ndoa kabla yeye hajaweka nia ya kufanya hivyo sasa.
 
Hapa ndipo naonaga wanawake wanakuwa na kaujinga flani, hujui mwenzio kapatwa na nini mpaka kuwa kimya, ukute yupo jela wewe unakazana kusema umeachwa.

Yani kama ni mimi siku narudi unaniletea habari nyeusi ndio jumla tunaishana.
 
Sikia kosa ulilolifanya usirudie tena binti

1:Acha kutafuta ndugu au marafiki wa mwanaume wako kuwaambia maugomvi yenu hao hawana msaada wanakuchora tu… kingine wanaume wengi hawapendi mambo ya mahusiano kupeleka nnje so next time usirudie

2:Acha kumtumiatumia sms sijui unajilizaliza sijui unaomba msamaha,, kama una uhakika Hakuna ulichomkosea kausha
Hizo sms zako wala hazitomfanya arudi kwako Bali atarudi kwako kama bado anakuhitaji

3: Ndio hiyo hiyo namba 2.. mpe nafasi mpe space ya kukumiss mwache ajitafakari kama anakuhitaji… Acha kumtafuta tena hata asipokutafuta mwaka mzima vunga

Sikia jipe muda miezi 3 ndani ya hiyo miezi kama hatokutafuta tena hakuwa wako huyo.. unaweza kuendelea na mambo yako

Wakati mwinginee inabidi ujipe kiburii cha muda… kwanza mimi wiki moja tu kama hatuwasiliani nisha move on

By the way Polee binti mzurii
 
Sawa na.pole sana,nashauri tuma kwamba hukumaanisha muachane ili uondoe kosa la kusema muachane,huenda akachukulia kuwa umemaanisha ndio point yangu
 
Ahsante Kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…