Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Shukurani mkuu.Mkuu wasaidie vijana una uwelewa mkubwa sana wa vitu vingi
Tunabadilishana uzoefu hapa kadiri ya kaliba na talanta za kila mtu.
Nashukuru sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukurani mkuu.Mkuu wasaidie vijana una uwelewa mkubwa sana wa vitu vingi
Sawa am waitingNamshukuru Mungu nimeweza lkn ss mm na stabilise yeye ndo anatuma messge zaid ya 100 ku apologise. Aisee sijakubaliana na hilo na nimekataa katakata!!....nitakuja na mkasa mzima wait madam...lipo funzo kubwa!!
AhsantePole sana, huenda ulionyesha interest ya kutaka Ndoa zaidi kuliko yeye! MUNGU atakupa wa Kwako at the right time. Kama unahisi upweke, unataka kutoka, please DM! Huhitaji kujidhuru, wewe ni wa thamani Zaidi ya Ndoa!
Kama utajisikia kutoka, kusafiri, kubadilisha mazingira, I am ready, at zero cost! Nitaheshimu
Sijamkosea chochoteTatizo liko kwako. Kwanini umtumie sms ya kuachana. Na kwanini unaeleza ru kuhusu ukimya wake na namna alivyopotea huelezi ulichomkosea? Tatizo wanawake mmekuwa mkiringa sana. Unaipata iliyo haki yako, face it.
It's the truth
Hakuna kuachwa na kuachana, Ila kuna kupewa nafasi ya kuangalia upande wenye Amani.Namnukuu Kiranga 👇🏻
Ukiachwa hilo ni kosa lako.
Ama umemkubali mtu ambaye si sahihi tangu mwanzo. Kosa lako.
Ama mtu alikuwa sahihi mwanzo akabadilika, ukashindwa kumuacha wewe kwanza. Kosa lako.
Ama mtu sahihi, ila kakuchoka tu. Kosa lako.
Vyovyote vile hutakiwi kuachwa.
Ukiachwa usilalamike. Tafuta mwingine tu.
Kwa sababu, kuachwa ni kosa lako.
Bila kujali wewe ni mwanamke au mwanamme. Bila kujali unahudumia au unahudumiwa.
Unatakiwa kuwa na mvuto mkali sana kiasi kwamba wewe tatizo lako liwe ukiingia kwenye mahusiano watu hawataki kuachana nawe.
Yani wao ndio wawe wanalazimisha mahusiano na wewe, sio wewe unalazimisha mahusiano na wao.
Ukiachwa ujue ushazembea sehemu hapo.
Jitafute ujiongeze mwenyewe bila kutaka kumdhuru mtu.
Mkuu hii message YA kuumia Na ukimya wake nlishamtumia Na nlijieleza Sana jinsi gan hii Hali inavoniumiza maumivu nayopitia nilimweleza hisia zangu za ndanu kabisa Na jinsi navoteseka Na kuumwa ulcers sababu ya mawazo...........lakinini hakunijibu kituMengi wamesema wadau hapo,yangu ni haya kwakuwa ulituma meseji kwamba muachane basi tuma meseji hii kisha kaa kimya,hapa unaondoa kosa ulilolifanya
baby ukimya wako unaniumiza sana mpaka nikajikuta nakutumia meseji ya kuachana,lkn sikumaanisha ni hasira tu kutokupata mawasiliano yoyote kutoka kwako
Ukimya wako unanitesa sana,love you always
kisha kaa kimya kpnz,kama alikuwa anakujaribu atakucheki tu
Bc huo ndio mwanzo wa kuponya afya ya akili is dhulikeNajua anaelewa anachofanya
SawaBc huo ndio mwanzo wa kuponya afya ya akili is dhulike
Tengeneza penzi jipya, ila ujue kila kitu kina mwanzo na mwisho,Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Hilo kosa la pili imefanya kujishusha tena chini zaidi.Mkuu hii message YA kuumia Na ukimya wake nlishamtumia Na nlijieleza Sana jinsi gan hii Hali inavoniumiza maumivu nayopitia nilimweleza hisia zangu za ndanu kabisa Na jinsi navoteseka Na kuumwa ulcers sababu ya mawazo...........lakinini hakunijibu kitu
Sawa na.pole sana,nashauri tuma kwamba hukumaanisha muachane ili uondoe kosa la kusema muachane,huenda akachukulia kuwa umemaanisha ndio point yanguMkuu hii message YA kuumia Na ukimya wake nlishamtumia Na nlijieleza Sana jinsi gan hii Hali inavoniumiza maumivu nayopitia nilimweleza hisia zangu za ndanu kabisa Na jinsi navoteseka Na kuumwa ulcers sababu ya mawazo...........lakinini hakunijibu kitu
Huwaa naamin kujishusha Ni sifa ya mwanamkeHilo kosa la pili imefanya kujishusha tena chini zaidi.
Ungekaa kimya tu.
Kosa lako la kwanza huenda ulilazimisha sana harakati za ndoa kabla yeye hajaweka nia ya kufanya hivyo sasa.
Ahsante Kwa ushauriSikia kosa ulilolifanya usirudie tena binti
1:Acha kutafuta ndugu au marafiki wa mwanaume wako kuwaambia maugomvi yenu hao hawana msaada wanakuchora tu… kingine wanaume wengi hawapendi mambo ya mahusiano kupeleka nnje so next time usirudie
2:Acha kumtumiatumia sms sijui unajilizaliza sijui unaomba msamaha,, kama una uhakika Hakuna ulichomkosea kausha
Hizo sms zako wala hazitomfanya arudi kwako Bali atarudi kwako kama bado anakuhitaji
3: Ndio hiyo hiyo namba 2.. mpe nafasi mpe space ya kukumiss mwache ajitafakari kama anakuhitaji… Acha kumtafuta tena hata asipokutafuta mwaka mzima vunga
Sikia jipe muda miezi 3 ndani ya hiyo miezi kama hatokutafuta tena hakuwa wako huyo.. unaweza akuendelea na mambo yako
Wakati mwinginee inabidi ujipe kiburii cha muda… kwanza mimi wiki moja tu kama hatuwasiliani nisha move on
By the way Polee binti mzurii
Naona nitakua nimejishusha kupitiliza mkuuu Na atazidi kunidharauuu Moyo unakataaa sababu nimeshajishusha Sana Na kumhangaikia sanaSawa na.pole sana,nashauri tuma kwamba hukumaanisha muachane ili uondoe kosa la kusema muachane,huenda akachukulia kuwa umemaanisha ndio point yangu